Kumbukeni kuwa mzoea vya kunyonga akipewa vya kuchinja lazima alalamike na hao wanao kwiba kura za watanzania mwisho wao haupo mbali
Kamuulizeni Albashir na Mugabe watawasimulia kuwa wananchi wana ukomo wa uvumilivu
Ataepigia kura ccm akapimwe akili
Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Ukiachana na majengo kuna swali linanitatiza sijapata jibu hivi kwanini kwa kipindi hichi wafuasi wa chadema wanahama sana kuhamia ccm? Na bado unasema mpo vizuri?
Nimekuelewa mkuuKuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine siyo jinai ni haki yao.
Ungeniambia kama viongozi mbalimbali wa upinzani ndiyo wanahamia ccm ningekuelewa vizuri zaidi kuliko ku generalize eti watu
Kuna wanasiasa wana tabia za umalaya malayaunaongelea majengo wakati kila kukicha watu wanahama chama
Kuna wanasiasa wana tabia za umalaya malaya - alisema Nyerere. Majengo ya CDM hayahami chama, sio yale ya CUFunaongelea majengo wakati kila kukicha watu wanahama chama
Mbona bati nikijani au mmeungana na ccm ndio maana wabunge namadiwani wenu huwahawakawii kuunga mkono mwanzoni tuliaminishwa kuwa act nivibaraka wa ccm lakini ndio chama kinachotoa upinzani mkubwaWakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Mbona bati nikijani au mmeungana na ccm ndio maana wabunge namadiwani wenu huwahawakawii kuunga mkono mwanzoni tuliaminishwa kuwa act nivibaraka wa ccm lakini ndio chama kinachotoa upinzani mkubwa
ccm haijawahi jenga ofisi hata moja, yote ni majengo ya wananchi. time will come when all public properties will be confisticatedMtakuwa mmekodi tu hizo nyumba huoni hata rangi zenyewe. Uwezo wa kujenga ofisi hakuna.