Recent content by mwimomo

  1. mwimomo

    Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    hivi wale wanaopambana na madawa huwa wanajifanya hawaoni> yaonekana hakuna action yoyote juu ya matangazo hayo ndo maana yameshamiri ,,, What is happening ....??
  2. mwimomo

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Brothers, As we discuss these, please see the wise and philosophers said • Three things cannot be long hidden: the sun, the moon, and the truth. - Buddha • Things do not happen. Things are made to happen. - John F. Kennedy • The world...
  3. mwimomo

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    Sheria ni vema kufuatwa, toa dhamana weka masharti yakivunjwa weka ndani zuia. maneno yangepungua ...
  4. mwimomo

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Bravo Mohamed and Ashadii; Mawazo yenu yana suluhisho kubwa yakifanyiwa kazi; Kwa kuongezea nitaje cases zifuatazo: 1. Mara kadhaa nashangaa sana kusikia mshika kipaza sauti msikitini akibeza waislam wenzake wanaopeleka watoto shule za wazungu na kuwacheka wenzake hao kuwa wanatupa fedha...
  5. mwimomo

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Jamani, Nyerere aliwahi kusema; Kiongozi wa kweli huwa hakimbilii ikulu. Anakimbilia nini huko??? Ikulu ni mzigo mzito. 1. Zitto anakimbilia pamoja na kufahamu kuwa katika haimpi nafasi. Ana maslahi gani nako??? 2. Slaa hajawahi kuitaka nafasi hiyo by his own. Amefuatwa na walioona kipaji chake...
  6. mwimomo

    Mbegu walizopanda waandishi wa habari watz dhidi ya waumini wa kiislam sasa haya ndio matokeo yake

    Naomba nichangie yafuatayo: 1. Siku moja nilishangaa sana kusikia mshika kipaza sauti msikitini akibeza waislam wenzake wanaopeleka watoto shule za wazungu. Aliwasema wenzake hao kuwa wanatupa fedha zao bure, alisisitiza sana watoto wapelekwe madrasa. Huu ni udhaifu mmojawapo mkubwa wa namna...
  7. mwimomo

    Kwamwe Uislam usihusishwe na wasiosoma/waliokosa Elimu nifuatilie

    Naomba nichangie yafuatayo: 1. Siku moja nilishangaa sana kusikia mshika kipaza sauti msikitini akibeza waislam wenzake wanaopeleka watoto shule za wazungu. Aliwasema wenzake hao kuwa wanatupa fedha zao bure, alisisitiza sana watoto wapelekwe madrasa. Huu ni udhaifu mmojawapo mkubwa wa namna...
  8. mwimomo

    Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    Jamani waislamu wenzangu MNATUMIWA bila kujijua, TUACHE UJINGA, TUAMKE; wana uamsho hawapiganii DINI wana lao. Ole wenu mtaibuka kuzimu baada ya kupinga mapanga wenzenu na ninyi kupata panga za kutosha then kifo KISHA mnawakuta wana uamsho ndio wenyeji wenu motoni ...; nyote kwa kushiriki...
  9. mwimomo

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    aca utoto weye hujui kosa lake, tena makosa si kosa. kwao hakukaliki ndo kaamua kuleta maambukizo ya virusi vyao vya magomvi
  10. mwimomo

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    na hii redio ya uchochevu (Iman) ni vema nayo ifungwe. mbona redio za wakristo hazina uchochezi? huwa wanaongelea mambo yao tu ....
  11. mwimomo

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Ndugu zetu waislamu hapo jazba imetumika. Amani ni ya faida kwetu sote tusilewe. Ikitoweka vita haina macho wote katika jamii hatutakuwa na amani na tutatawanya familia zetu na kuingiza mateso katika jamii zetu na watoto. Wanaoanzisha vurugu hizi waepukeni, kwa kuwa malengo yao nadhani ni...
  12. mwimomo

    Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

    Mmechek ramani lakini - search google????? ziwa lote liko kwao yaonekana kuna uzembe ulitokea hadi ramani ikaliweka ziwa kwao. What is our reference guys, they can show the ramani international version
  13. mwimomo

    Je, wanaohama CCM na kujiunga na CHADEMA wataing'oa CCM madarakani?

    Wimbi laweza fanya mabadiliko yasiyotarajiwa. Time Will Tell. Dalili zilizopo zaonesha hili lawezekana, Late JKN alisema Upinzani utakaoizamisha ccm utatoka ndani yake.
  14. mwimomo

    Chadema mmejifunza nini kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali?

    Ni ULEVI tu, ULEVI wa madaraka. Tanzanians WALEVI wa NINI hawa? Ndo tatizo mtu kuwa kiongozi toka mtoto mpaka awa Kikongwe. Tuwachuje hawa au wanaowalea tuwachuje ....
  15. mwimomo

    Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    ICE cause ndo ice
Back
Top Bottom