Mbegu walizopanda waandishi wa habari watz dhidi ya waumini wa kiislam sasa haya ndio matokeo yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbegu walizopanda waandishi wa habari watz dhidi ya waumini wa kiislam sasa haya ndio matokeo yake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Oct 21, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Likija swala la waislam. waandishi wengi wa habari wanaacha kalamu na kuanza kuingia kwenye UDINI.

  Mwandishi huyo atakuwa msemaji wa serekali , hapo hapo atajifanya mtetezi wa wakiristo, hapo hapo atakuwa kama anajibu madai ya waislam.
  Hii ndio inawawafanya serekali kuwa na jeuri hapa tz kutosikiliza madai ya waislam
   
 2. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo siyo Tanzania, all over the world. Wanatupa majina mapya sisi tunadunda tu mara terrorist, lakin life goes on. Propaganda zao tushazizoea ndio maana hatuwahitaji hata siku moja kwenye harakat zetu lakin wanajipendekeza.
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo waandishi wa habari ndiyo waliochoma makanisa au sio? waandishi wa habari ndiyo wayoiba kanisani au sio? waandishi wa habari ndiyo walioiba bia kwa wafanyabiashara kule ZENJ au sio? waaandishi wa habari ndiyo waliovamia kiwanja cha mtu au sio? waandishi wa habari ndiyo waliotishia kumng'oa Mufti au sio? waandishi wa habari ndiyo waliozunguka Tanzania nzima kumlaani Mwl.Nyerere au sio? waandishi wa habari ndiyo waliosema WAISLAM wanaonewa au sio? waandishi wa habari ndiyo waliosema muslims wanakatwa marks na NECTA au sio? waandishi wa habari ndiyo waliotaka kumua mufti au sio? waandishi wa habari ndiyo wanaotukana christians ktk mihadhara mitaani au sio? waandishi wa habari ndiyo wanaohauamasisha muslims wasipeleke wattoto wao ktk shule zinazomilikiwa na mission za kikristo au sio? NAOMBA MAJIBU.

  MUWE WAKWELI, kwani kweli itawaweka huru, Think out of the box, acheni kusingizia watu, wao wameripoti kilichotokea, na si vinginevyo
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Adui ujinga atakumalizeni. The buffalo of ignorance is knocking muslims down.
   
 5. P

  Penguine JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180

  Naf,

  To me, your thread comes from a very shallow concept note that gave you a shallow research coming up with weak findings passed through weak processing measures and a very light analysis thus, you hv come up with this weakest conlusion. The thread misses substantial evidences for it to be considered true.

  Ebu jaribu kutushawishi kidogo kwa kuongeza mashiko yenye kutokana na mifano halisi kwenye hoja yako. Huenda ukaeleweka.
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Tabia murua za UGAIDI ni shari, vurugu, visasi, kuwaza kumwaga damu ya mtu ama watu, na mengine mengi yanayofanana na haya.

  Hivyo, inapotokea wewe unatabia hizi matharani kauli za ndg. KASHOROBANA (rejea maudhui ya threads zake ZOTE)zimejaa harufu ya shari, vitisho, kutaka kukata mtu kichwa na mengine yanayofanana na haya. Sasa hapo kwa nini usihusishwe na ugaidi?
   
 7. P

  Penguine JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  hutapata majibu ya maswali haya . Ni magumu sana kwa baadhi yetu sentiment muslims. Waislam wenzangu dhihaka tunajitakia. Tunapenda sana kukimbilia suruhu zilizo za kishari, and perhaps suluhu za kigaidi kutatua matatizo yanayotukabili. Hii ni dalili ya kutenda zaidi kabla ya kuwaza au uwezo mdogo wa kufikiri nini ukifanye kwa faida gani ktk jamii.
   
 8. P

  Penguine JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Elimu isifikiriwe tu kwamba ni kule kuwahi kuwepo darasani pale chuo kikuu cha dsm, makelele, broemfontain, delh nakadhalika na kupata chet cha chuo hicho. La hasha! Tutanue wigo wa maana ya mtu kuelimika. Mtu aliyeelimika apaswa ama atambulika kwa kuwa na uwezo wa kufikiria, kuandaa, kuchambua, kuchanganua mipango ya maendeleo ya jamii yake jwa muda mfupi na muda mrefu ktk kuikomboa ama kuimarisha na kuiendeleza jamii aliyopo, kuipatia jamii yake suluhu ya matatizo yanayoikabili bila ya kuathiri utu wa jamiihiyo labda kama itabidi tena baada ya njia zingine zote kushindikana, kuwa kimbilio la waliokosa faraja na kupungukiwa ama kuishiwa matumaini ktk maisha, kutokuwa mbaguzi wa watu wrngine kwa sababu za kidini, rangi, jinsia nk. Namaanisha uwe REASONABLE.

  Kwa mfano, walioyatenda baadhi ya waislam wenzangu kule znzb na hapa bara kwa kuchoma makanisa, kuharibu magari ya watu, kutaka kumchinja yule mtoto anayesemekana kukojolea qorani,kuiba na kunywa mvinyo kwenye makanisa walioyashambulia, kuiba mikate kwenye makanisa walioyashambulia, na mengine mengi yanayofanana na haya. That lmplies lack of shule, impaired reasoning bila ya kujali dini rangi au kabila la anayetenda mambo kwa namna hii.

  Tunaenda shule ili kupata kichwani hayo niliyoyataja. Hata walimu wetu wanatakiwa kutufundisha hayo. Sasa kama wewe umeenda shule halafu hsyo hatuysoni ukiyatenda unatutia shaka na ilimu yako.
   
 9. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbegu ya udini, tuliipanda wenyewe kwenye ilani ya chama chetu tulipo ahidi kulitolea ufumbuzi suala la mahakama ya kadhi. Tusilaumu waandishi wa habari wala mtu mwingine awaye yeyote. Mbegu tuliyopanda, ilimwagiliwa pale Igunga tulipo pandikiza chuki kuwa chama fulani kimemuvua hijabu mama wa dini yetu. Mbegu hiyo iliota, ikakua sasa imekomaa. Acha tuvune matunda yake, na tusisingiziane kuwa labda wewe au mimi tumepandikiza hilo. Haya ni matunda ya chama chetu.
   
 10. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Wewe unampigia mbuzi gitaa. Atakuelewa lakini?
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Waandishi wote wa habari kumbe ni wagalatia?
   
 12. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona hizi chokochoko zamani hazikuwepo na Waislam walikuwepo na tuliishi vizuri tu.
   
 13. L

  Loli Senior Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nahisi wote wanaoleta Mzaha na kitu AMANI watakua hawana familia kwa maana ya Watoto, na pengne dokta kesha wahakikishia hawana uwezo huo. Huwezi kucheza na kitu kusambaratika kwa familia kwa sababu ya VITA. Watu wanaongea tu, embu niulizeni mimi kuhusu VITA nkuelezee.
   
 14. mwimomo

  mwimomo Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba nichangie yafuatayo:

  1. Siku moja nilishangaa sana kusikia mshika kipaza sauti msikitini akibeza waislam wenzake wanaopeleka watoto shule za wazungu. Aliwasema wenzake hao kuwa wanatupa fedha zao bure, alisisitiza sana watoto wapelekwe madrasa. Huu ni udhaifu mmojawapo mkubwa wa namna tunavyojenga watoto wetu. Ndugu yangu mwislamu hebu hapa tubadilike
  2. Watoto wasifundishwe kubagua makundi mengine, hapa sisi wote islam na christians tuna wajibu kufanyia kazi. Ni UPUMBAVU wa hali ya juu kumjaza mtotO UJINGA NA UPUUZI wa namna hii; achilia mbali kasoro za kigomvi zilizojitokeza.
  Ukifuatilia makundi ya hawa wachochezi utakuta toka utoto wamekuwa katika mafundisho ya chuki kwa wengine, sasa wameiva
  3. Hakuna cha kujivunia juu ya mtu mwingine eti kwa kuwa upo ndani ya imani uliyopo .... Umezaliwa na kujikuta humo bila kuchagua. Sasa jeuri yako ya kuwa humo unaipata wapi. Hivi kuna aliyechagua azaliwe ndani ya imani ipi? Mnaolumbana katika dini hivi kweli mnaishi maisha ya utakatifu, Mungu akitoa roho yako sasa hivi utaibukia peponi???? au mnataka kujiongezea dhambi ya kumchukia jirani yako...
  4. NI UJINGA KUCHUKIANA KWA MAKUNDI NA UPUMBAVU ULIOPITA VIWANGO; jiepushe, ishi kwa upendo kwa watu wote, dini zote. Huu ndio uwe msingi, anayekiuka basi sheria itende kazi kwa mujibu wa inavyoelekeza
  5. Waislamu duniani tunajiweka katika kundi baya kwa matukio wafanyayo watu wajiitao Siasa Kali. Sisi tunaojali maelekezo ya vitabu kama yanavyoelekeza tukatae kuburuzwa na wachache wenye lao jambo kwa visingizio vyenye sura ya "KAMA KWELI VILE" mengi wayasemayo ukifuatilia kwa makini SI YA KWELI. Wengi wanaropoka tu kwa kuwa wana maneno mengi midomoni
  6. Waislamu wengi sana wanasikitika sana kwa matendo yaliyotokea; hasa ukiangalia chanzo cha vurumai, huwezi amini kama ni watu wazima wamekaa na kutafakari kwa kina faida ya ushabiki huu wote. Hawakupima gharama halisi ya matendo waliyoyapanga. Adhabu stahili inapaswa kwa mtoto husika kulingana na umri wake na sio kupeleka adhabu kwa kundi ambalo wala halina mahusiano kabisa na tendo anzilishi. WAKRISTO msichukie WAISLAMU. Wapo watu wema wengi sana ndani ya UISLAM
  7. IBADA zote wafanyazo binadamu zinalenga safari ya MBINGUNI, Tusitoke kwenye mstari wa uelekeo huo, Mungu ni roho, endesheni mambo yake kwa roho SI kwa NYAMA.
  8. To every one: Don't LOOSE HOPE; Ukijiona unapanda jazba katika mambo ya DINI tambua upo nje ya mstari na njia ikupelekayo PEPONI. Katika hali hiyo pia utambue ndo unajipeleka MOTONI.

  KAA CHONJO, Tuache UTOTO
   
 15. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo wa malimbe ndiyo hawakusoma eti!!!
   
Loading...