Recent content by mwilovi

  1. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Naomba niwaage

    pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

    wakishangilia ndo watapona?au watapata chanjo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa inakuja, chukua tahadhari na fanya maandalizi

    bumbafu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwilovi

    JamiiForums Tanzania TBC yaandamwa na vifo, watu waogopa viti, hofu yatanda

    msaada tafadhari wa ufafanuzi,hiyo ni nini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

    asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Hatua ya mwisho mbele kabla sijakata tamaa

    Una miaka 23 unaongea kuhusu kukata tamaa seriouse?,na bado unao wa kukupa zawadi yenye thamani ya laki sita,?unakwama wapi?
  7. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwal nakuja kwako kwa whatsaap,naomba nipokee nina ombi ambalo lipo tofauti kidogo na mada hii
  8. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Waliosoma fani za kilimo na mifugo na Jinsi walivyotumia elimu zao mpaka sasa kujikomboa binafsi na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo na mifugo

    Uku wapi mkuu?nataka kujifunza kutoka kwako.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

    Barikiwa sana kwa moyo wako wa kutoa,lkn barikiwa zaidi kwa weledi wako wa kuwajibu wenye maswali au coment za kuudhi,hakika umepania kuupata ufalme wa mbinguni yamkini haupo mbali nawe Sent from my HUAWEI MLA-TL10 using JamiiForums mobile app
  10. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

    Barikiwa sana mwana wa Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Ni kabila gani huyo mke wa mbwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

    Connection kiaje kwa mfano?ni nini kinaanza kati ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa na hiyo unayoiita connection?vijana kazeni msilishwe matango pori
  13. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    ...'njooni kwangu nyote msumbukao na mizigo mizito,nami nitawapumnzisha'..Amen
  14. mwilovi

    JamiiForums Tanzania Tutayarishe makaburi ya kutosha kwa waathirika wa H.I.V

    Kama kuna asiye kuelewa,basi ni kwa matatizo yake binafsi,matatizo ambayo ndiyo chimbuko lenyewe la umasikini,asiye kuelewa ni sawa na mgonjwa anaekataa dawa,hatapona...any way kila mmoja aamini kwa viwango vyake vya kuamin,ndiyo maana matajiri na masikini wataendelea kuwepo kutokana na uwezo wa...
Back
Top Bottom