Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

Hongera Sana dada wasiliana na clouds FM hapo Kuna vituo vya yatima huwa wanakwenda Hapo kuchukua vile vile wanafuata wao nguo, viatu majumbani na kupeleka kwa wahitaji
 
Mapepo yako,ndiyo unataka kuwapa na wenzako?
choma moto au peleka kijijini kwenu kule wanaposhinda uchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, lakini mimi sina mapepo wla hizo nguo hazina mapepo, nataka nizigawe kwa moyo mweupe kabisa, kulingana na imani yangu kama nina vitu vya ziada vimelundikana na kuna wahitaji hawana ni vyema kuwagawia kuliko kuziacha tu kabatini na wakati sizivai. so kuzichoma moto sioni kama ni sawa maana nyingi bado zipo vizuri kabisa hazijachakaa. Asante
 
Asanteni kwa mlionipa ushauri na maoni mazuri, nimepata kwa kuanzia, na hata mlionifata inbox tutawasiliana. MUNGU awabariki nyote.
 
Asanteni kwa mlionipa ushauri na maoni mazuri, nimepata kwa kuanzia, na hata mlionifata inbox tutawasiliana. MUNGU awabariki nyote.
Wazo jipya.

Nenda gereza Lolote la karibu yako,l kuna mahabusu wengi wa kike wana uhitaji mkubwa wa mavazi.....Omba kuonana na uongozi,,,,,,elezea dhamira yako.

Utapewa utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna chupi zilizotumika na hazijafuliwa nahitaji 3 kwa ajili ya kuweka puani nikitafuta usingizi.
 
Asanteni kwa ushauri. Nipo Dar es salaam
Ningekuwa wewe ningetuma nyumbani. Kwa jina lako, huko kunauhitaji mwingi tu wa nguo. Weka kwenye basi ndugu yako atapokea mzigo na kusambaza. Si lazima upigwe picha au video. Kuwa invisible itapendeza.
 
Peleka ktk vituo vya watoto yatima. Kama upo dar vipo sehemu nyingi ni wewe kuuliza kilichopo karibu nawe.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ningekuwa wewe ningetuma nyumbani. Kwa jina lako, huko kunauhitaji mwingi tu wa nguo. Weka kwenye basi ndugu yako atapokea mzigo na kusambaza. Si lazima upigwe picha au video. Kuwa invisible itapendeza.

Asante Mkuu kwa ushauri.
Ila hilo jina halina uhusiano kabisa na watu wa huko unakodhani ndiko nitakuwa natoka. ni jina tu la JF. Asante hata hivyo.
 
Asante mkuu, lakini mimi sina mapepo wla hizo nguo hazina mapepo, nataka nizigawe kwa moyo mweupe kabisa, kulingana na imani yangu kama nina vitu vya ziada vimelundikana na kuna wahitaji hawana ni vyema kuwagawia kuliko kuziacha tu kabatini na wakati sizivai. so kuzichoma moto sioni kama ni sawa maana nyingi bado zipo vizuri kabisa hazijachakaa. Asante
Barikiwa sana kwa moyo wako wa kutoa,lkn barikiwa zaidi kwa weledi wako wa kuwajibu wenye maswali au coment za kuudhi,hakika umepania kuupata ufalme wa mbinguni yamkini haupo mbali nawe

Sent from my HUAWEI MLA-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom