Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

POLO RALPH LAUREN JERMAIN TRINERS, kwenye hio pic hapo mwisho inaonekana hapo nibaada ya kuivaa kwa 6 yrs

Nataka mpyaaa, Km bei itakua nzuri, Nyeupee, Brown na black
Screenshot_20190615-073442_Google.jpeg
Screenshot_20190615-073450_Google.jpeg
polo%20ralph%20lauren%20white%20jermain%20trainer%20resistant%20to%20wear%20mens%20sneakers%2...jpeg
Screenshot_20190615-080233_Google.jpeg
polo-ralph-lauren-men-s-jermain-sneaker-aviator-navy-6-5-uk-men-s-aviator-navy-88aa-600.jpeg
20190615_082015.jpeg
 
Habari reyzzap , angalia ebay au amazon kisha nipe direct link ya item husika, copy hapo kwenye address bar na niwekee hapa.
 
Ninatafuta charger ya tablet yangu. Nimejaribu kununua huku kwetu charger zaidi ya tano but majanga tupu
 
Ninatafuta charger ya tablet yangu. Nimejaribu kununua huku kwetu charger zaidi ya tano but majanga tupu
TZS. ‭61,000‬
Inatoka Soko kundi B ( Rejea post ya kwanza )

Muda: Wiki mbili.
 
asante sana kwa mara ya pili nmepokea mzigo safi kabisa kutoka kwa Mwl.RCT
1.apple bracelets
2.usb charger ya kijanja kabisa
3.kava la simu
asante sana kwa huduma
 
Back
Top Bottom