Wewemwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 283
- 311
Perception is not the same to life as you all think.
kama ukirudia kuipitia post yangu nimesema "niliwahi kusikia" tena ni kwa mtu anaeaminika (pastor). hiyo ya roho Mtakatifu naijua.Tango pori!
kukata tamaa sio dhambi isiyosamehewa bali kumkufuru Roho Mtakatifu ndio dhambi isiyosamehewa.
The rest of your message is good.




Mkuu sikuoni siku nyingi?Wewe tatizo lako haliko kwenye ulimwengu wa nje Bali kwenye fikra zako tu. Nitafute PM nikusaidie kisaikolojia
sawa! lakini ukweli ni kuwa huyo mchungaji alidanganya japo yawezekana ni kwa nia njema.kama ukirudia kuipitia post yangu nimesema "niliwahi kusikia" tena ni kwa mtu anaeaminika (pastor). hiyo ya roho Mtakatifu naijua.
Hebu RELAXsioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
Duh! Ilo nalo neno coz somalia hakuna toz wala sister du.Mkuu tembelea Somalia ukirudi utanipa jibu
"Life is like a mirror, if you laugh before it, it loughs back to you and if you cry before it, it cries back to you" anonymousHello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
...'njooni kwangu nyote msumbukao na mizigo mizito,nami nitawapumnzisha'..Amenpole sana,tuko wengi tu kwenye Autopilot mode
NDIO ATAMPA HELA YA KULIPIA MADENIFuraha ya kweli kuwa na Yesu! Mtafute Mungu utaenjoy maisha ya duniani.
Mwili ni gereza la roho.Mkuu umenena...
Hii dunia ...
Unaweza vumilia..ukahangaika ...kutafuta tahfif...lakini ..kumbe ndio kama ulikuwa unasafisha njia ili kubwa zaidi la kutisha lije!
Hadi unajiuliza hivi nimekosa nini mimi!
ushauri wako ni wa kilokole kuliko uhalisiabadala ya kumuomba Mungu ufe nakushauri uifanyie kazi hiyo sentensi yako ya mwisho ,"Mungu ulinileta duniani ili nifanye nini?". Kila siku uwe unamuuliza Mungu na ipo siku atakupa jibu. niliwahi kusikia kwamba kutaka tamaa ni dhambi isiyosamehewa, usikate tamaa maana umeumbwa kwa sababu maalum, sali sana ili uijue hiyo sababu ya kuumbwa kwako. Roho Mtakatifu akuongoze.