Recent content by mwila

  1. M

    Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

    Kuna mwingine kondakta wa kunduchi posta, nae yuko vizuri
  2. M

    Mwana FA na J DEE

    #teamAnaconda #
  3. M

    Mazishi ya clouds fm facebook page

    Add me kwenye hiyo page. Ife kabisa. Pambaf***
  4. M

    Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

    Mlizidi kuwasikiliza hao clouds wenu, sasa hivi wana wageuka mmoja mmoja!! Na bado, wakati sisi tunaungana kama VINEGA mlituita wahuni...!!!! Ant Virus ndo mpango mzima!
  5. M

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Ungekuwa karibu ningekupa mkono ndugu yangu!
  6. M

    Thanx allah nimepangiwa kituo cha bagamoyo...............karibun i bagamoyo wapendwa,,,,ualimu nu rah

    Kama unaenda kufundisha general studies, inamaana unaenda kufundisha A level. Shule zenye a level kule ambazo ni karibu na dsm ni bagamoyo secondary tu, otherwise wakupangie lugoba au miono
  7. M

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Naunga mkono hoja!!
  8. M

    Naombeni kiti nikae

    Aaaah aaah teeeeh
  9. M

    NMB: Be cautious with Tanzania Loans Society

    Duh! Bongo noma sasa, kila sehemu utapeli
  10. M

    Udsm watangaza kazi nyingi angalia

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Security Guard II (6 posts) (b) Qualifications and Experience...
  11. M

    Mshahara wa tutor katika vyuo vya diploma vya Serikali ni kiasi gani?

    Wapendwa naomba kuulizia mishahara wanayopewa watu wanaofundisha katika vyuo vya serikali vinavyootoa certificate na diploma, kiasi gani pamoja na motisha nyinginezo!?
  12. M

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Hata huku chuo cha ukutubi (SLADS) bagamoyo wako wengi sana, wanaziuza kama njugu!!
  13. M

    Clouds TV yaondolewa katika channel lists za digitali

    VINEGA oyeeyee ant virus...inascan na kudelete kila kitu!! Na bado, mwaka wao huu 2013.
  14. M

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Kumbe ndo huyu aaah aaah aaaah basi labda anataka umaarufu kwa nguvu
Back
Top Bottom