Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

613_661979943819166_1487075316_n.jpg

Ni dereva wa bus la Ndenjela Coach anakung'uta route ya Dar Mbeya anajiamini sana akiwa barabarani abiria mnakuwa hamna wasi wasi, Kitonga anashusha na speed ile ile inayo takiwa ananikosha sana kwenye kona za Iyovi analala nalo speed 120 na anafika Dar kwa wakati. Wadada mjitokeze kwa wingi si kila ajira ni kwa ajili ya kina Baba au mnasubili mkiwezeshwa?
Yupo mwingine anakung'uta bus la Shabiby Dar Dom nae yupo vizuri.
Kuna mwingine anaendesha daldala ya mwenge gongo la mboto. Na mwingine nimewahi kumwona akioperate excavator na dozer
 
613_661979943819166_1487075316_n.jpg

Ni dereva wa bus la Ndenjela Coach anakung'uta route ya Dar Mbeya anajiamini sana akiwa barabarani abiria mnakuwa hamna wasi wasi, Kitonga anashusha na speed ile ile inayo takiwa ananikosha sana kwenye kona za Iyovi analala nalo speed 120 na anafika Dar kwa wakati. Wadada mjitokeze kwa wingi si kila ajira ni kwa ajili ya kina Baba au mnasubili mkiwezeshwa?
Yupo mwingine anakung'uta bus la Shabiby Dar Dom nae yupo vizuri.
Huyu si wa viti maalumu kama wale wanaolalamika kuwa kuna mfumo dume...
kenya-bodaboda-asar-340_227.jpg

Cheki huyu, naye ni wa boda boda

Madereva wa bodaboda wa kike wavunja vikwazo vya kijinsia Kenya - Sabahionline.com
 
naona ulitembelea home page.
did you leave me a message?

Nilikuja kutia baraka mtaani kwako ila nilishindwa kuacha message coz laptop iliisha charge.

Don't worry i will leave a message.
 
mawasiliano mkuu ya dereva ili niweke booking ya ticket
 
Basi la masafa linapoendeshwa na mwanamke kuna advantage kadha lakini kubwa zaidi ni kwamba uwezekano wa yeye kuvunja sheria kwa ubabe ni minimum.

Lakini pia kwa makosa madogmadogo yale yanayokomaliwa na matrafiki, yeye ni vgumu sana kukomaliwa na trafiki wa kiume, labda trafiki huyo awe hana moyo!
Lakini kama trafic ni mwanamke mwenzie kuna hatari ya gari kuzuiwa kwa siku 2 njiani!
 
Kuna mwingine kondakta wa kunduchi posta, nae yuko vizuri
 
aiseee...hongera sana kwa huyo dada...natamani ningemuona anavyofanya vitu vyake live....ni noma..
 
Fidel80
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Dereva Nusura Maguluko akimwomba Mungu kabla ya kuanza safari[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Dereva akiwa kazini[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Wafanyakazi wa basi la Ndenjela kabla ya kuanza safari[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

PICHA KWA HISANI YA: Mbeya yetu​

Dereva Mwanamke Nusra Maguluko, akizungumza wakati alipoalikwa mbele ya viongozi kutoa ushuhuda kuhusiana na kazi yake ya Udereva wa magari makubwa kama Mwanamke, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Kampuni ya usafirishaji ya DHL, iliyofanyika siku za hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Nusra alialikwa katika hafla hiyo baada ya kuwa ni mmoja kati ya wanawake waliopata tuzo za Usafirishaji kutoka kampuni hiyo ya DHL.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bila, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi wa DHL na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, wakiwa katika picha ya pamoja na Nusra Maguluko, wakati wa hafla ya uzinduzi wa jingo la DHL, hivi karibuni.
 
Basi la masafa linapoendeshwa na mwanamke kuna advantage kadha lakini kubwa zaidi ni kwamba uwezekano wa yeye kuvunja sheria kwa ubabe ni minimum.

Lakini pia kwa makosa madogmadogo yale yanayokomaliwa na matrafiki, yeye ni vgumu sana kukomaliwa na trafiki wa kiume, labda trafiki huyo awe hana moyo!
Lakini kama trafic ni mwanamke mwenzie kuna hatari ya gari kuzuiwa kwa siku 2 njiani!

Hahahaha mzee umeniacha hoi hapo akiachia jicho traffic anasemehe?
 
Back
Top Bottom