figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,692
- 59,195
wanaonekana kama tv ya kulipia. salio likiisha haitaonekana kama utakavyo kua unaona tv nyingine za ndani. miaKwenye king'amuzi cha ZUKU,clouds TV wanaonekana.!!!
wanaonekana kama tv ya kulipia. salio likiisha haitaonekana kama utakavyo kua unaona tv nyingine za ndani. miaKwenye king'amuzi cha ZUKU,clouds TV wanaonekana.!!!
Clouds kwishney!!!! Digital hakuna ujanja ujanja!
muosha huoshwa! walimdhulumu sugu dili la malaria
Msisahau kumchukia....Ukweli ni kwamba binadamu na hasa sisi watanzania hatupendani!!! Tunaombeana matatizo ili tuchekane!!! Hivi ni kosa gani kubwa walilofanya clouds media group hadi muwachukie hivyo???? Jirekebisheni watanzania!!! Mshawahi kusikia ile habari ya "MSIYEMPENDA KAJA???!!"
bonyeza hiyo button ya track kwenye remote halafu nenda audio chaguo right au left moja wapo itatoa sautimbona ITV na EATV sipati sauti kwenye statimes?