Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta JULIANA SHONZA alikuwa demu wangu tukiwa advance!
Nimepata taarifa kuwa ameingia kwenye siasa!
Anayejua aliko aniPM wapendwa!

huyo achana nae tu. Keahawekwa suria na nyinyiemu hata wakimuachia hafai hata kwa kurumangia.
 
Natafuta mawasiliano ya Manji na Mengi mwenye no zao ani PM!
 
Naunga mkono hoja ... kwa kweli inaonekana hilo jukwa la kutafutana linahitajika hapa Jamvini .. ni mategemeo yetu kuwa wahusika watazingatia ushauri uliotolewa hapo juu.

Naunga mkono hoja!!
 
Namtafuta Fatuma,ni my classment Kishoju sec, ani PM!!
Funguka mkuu fatuma yupi,,au ni yule fatuma muhamed yule bint wa kagoma...bus usipate shida muulize mwl MUGIZI kama una namba yake.
 
mie wanawake wamenichosha,namtafuta salama jabir lol:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Hebu mtupe mrejesho nyuma kuna mtu kampata aliyemtafuta kupitia hii topic?
 
Duuuuuuu!!!!!!!!! naona ni mambo ya mtafutano JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom