Recent content by Mwezeshaji1

  1. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

    Mkope pia, akikupa basi nae sometime unamkopesha hela ambayo asiporejesha uko okay ✅ Ila hawezi kutarajia kila mwisho wa mwezi, focus na mipango yako kijana.
  2. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Alikuwa depressed, kulea halafu mshikaji ramani ngumu sio lele mama.
  3. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Ila, hivi kuanzisha family (ngono zembe) wakati hali ngumu hivyo inatokeaje hii Kiongozi? Huyo binti hata kutaka kuondoka ni ugumu wa maisha tuu, msoto huu uwe mwenyewe, ukileta wategemezi inakuwa balaa mara mbili elfu.
  4. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Wakuu, mnapambana vipi na changamoto za ununuzi wa bidhaa nje ya nchi?

    Mzigo unakuja kwa usafiri gani? Na supplier ulimpata mtandao upi?
  5. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Kuzungumza na ALIYETUUMBA, kupitia kwa mwanawe wa pekee Yesu Kristo
  6. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Pole, hakika haipendezi hata kidogo. Unatumia njia gani kuongeza kipato? Ushaoa/olewa au walau bachelor?
  7. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

    Acha kuwaza siku zaidi ya uliyopo, itaondoa msongo na utapata ahueni. Toka asubuhi, tafuta vibarua halali vyovyote haswa kwenye ujenzi. Una yeyote akukope mtaji upitishe biashara nyumba kwa nyumba/bar kwa bar (kama ulipo zimejaa?)
  8. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya jama...mweh!

    Mhh..ukiweza, usiache watoto mikono mitupu dunia iwachachafye. (Hivi sisi tunazaa halafu watajijua mbele kwa mbele kwenye sehemu ambayo hata huduma za elimu na afya KUBWA unalipia😂?) Kama hauna riziki unalala njaa KWELI, hakuna 'food stamps' wanazosemaga kwa wenzetu. Wape elimu sawa, halafu...
  9. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na ngono, kitu gani kinakufanya mpaka umnunulie gari mke wako?

    Na kwanini usimsupport kwa ukubwa huo ikiwa uwezo upo? Huoni anavyojitoa kwa ajili ya familia yenye jina lako🤔?
  10. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Kachukue nguo za ndani Kariakoo, pita mtaani. Tafuta chupi kali, sio vitu watu washazoea.
  11. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania What am I missing?

    I found peace after believing in Jesus. I was lost, lonely, and with an emptiness that nooooothing could fill until He found me. Receive His message, please read John 3:16, He wants you to have joy overflowing, meaning and purpose!
  12. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

    Jina la Bwana libarikiwe, usiache uhusiano wako na Mungu kupitia kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Ukiipata baraka kupitia maombi utahitaji kuitunza kwa maombi na si vinginevyo. Atakayeshangaa kukosa shng mia atakuwa hajawahi kupitia sehemu ngumu, binafsi naelewa vyema.
  13. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Acha kutaka haraka, utapoteza pesa. Nunua chupi, uza mtandaoni na tembeza mtaani. Anza na mzigo wa laki moja. Halafu ukiuza ndio upate hela ya kula ya siku, lasivyo kama unachota tu kila siku Ile akiba, utatafuna mtaji wote. (Mafanikio si jambo la siku moja, unless ufanye kitu cha tofauti...
  14. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Upigaji umeingiaje hapa? Namaanisha hata mtu wa kukushtua twende huku kuna wateja atakukuta kwenye harakati, sio home.
  15. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Naungana nawe, hata nami nimeona kuna juhudi na kwangu naita "rehema za Muumba", ila naona hata hizi Rehema, zinakupata ukiwa kwenye kujitafuta, unakutana na jinsi fulani ya kupiga hatua ambazo isingekuwa rehema, usingetoboa.
Back
Top Bottom