Recent content by mwerevu mwenye busara

  1. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Madereva bajaj watano wanahitajika

    Sifa Uwe na leseni Uwe na kijiwe maalum (hasa wilaya ya temeke) Mwenye Elimu ya form 4 au zaidi utapewa kipaumbele zaidi Ukiwa mkazi wa temeke utapewa kipaumbele zaid. Zama pm kwa mawasiliano zaidi
  2. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!.

    Juzi usiku mida ya kama saa5 hivi kulikiwa na foleni kubwa sana mandela road barabara ilifungwa kwa masaa karibu mawili na umeme ulikatika kutokana na nguzo mbili za umeme pale bandari kavu ya mwananchi kuangushiwa barabarani. Nikasikia tetesi(umbeya) kutoka kwa wananchi kwamba kuna mheshimiwa...
  3. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

    Duh
  4. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Wasambazaji ice cream wanahitajika

    Karibu pm kwa mazungumzo zaidi
  5. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Msichana wa M-PESA anatakiwa

    mbona hujibu pm mkuu
  6. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Wasambazaji ice cream wanahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Wanahitajika wasambazaji wa ice cream Malipo ni kutokana na mauzo yako Utauziwa ice cream kwa sh.50 na kuuza kwa bei uipendayo(zinauzwa kuanzia sh.100-200). Kiwango cha chini cha idadi ya ice cream ni 100. Fursa pia ya kuongeza faida kwa wenye...
  7. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

    Je! Umeshaijaribu app ya Tala? Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo! Tumia namba ya mualiko 15Q8U8R. Pata mkopo sasa: http://inv.re/79pcu
  8. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

    Jisaidie ili usaidiwe Waganda wameanza kuandamana wao ndomana dunia nzima inawasupport Sio nyie mnajificha vyumbani majirani watawasapoti vipi
  9. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Je kampuni yako inahitaji gari? Ipsum car in good condition inakodishwa

    Kuna mtu anakodisha gari yake kwa ajili ya makampuni(hotel,escorting car, utalii, harusi n.k) Gari ina siti za watu saba, lipo katika mazingira mazuri na ina muonekano bomba. Malipo ni makubaliano inategemea na aina ya mkataba Mcheck 0629992942 kwa mawasiliano zaidi
  10. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Nakiona cha moto Tazara junction muda huu!

    Pole sana mkuu Fanya fujo ishakuwa usiku saivi
  11. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

    Wanawake tu walikuwa wanarushiana maneno Si unawajua hawa dada zetu mambo yao
  12. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

    Hawa itakuwa sababu ni ule uzi wa gire nilikuwa nawafuatilia sana Waliotoa vichambo sana wote wamepigwa ban check wakina mumu happiness001 Shunie @witnesj amu Nashangaa Mzigua90 na Simara wameponaje ponaje
  13. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI ZA FREELANCER

    Awe alishawahi kufanya nini?
  14. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Hivi maana ya neno "danga" lina maana gani nasikia Asley anatumia hilo neno

    Kwa ninavyoelewa mimi kutokana na lafudhi yetu ya kitaa danga ni kitendo (kumchuna mtu) Kinaweza kufanywa na mwanaume au mwanamke Ukisikia mdada anasema anaenda kudanga au anadanga ina maana anaenda kutumia papuchi yake kutengeneza pesa Na tafsiri nyingine Danga ni buzi(fataki/atm machine etc)...
  15. mwerevu mwenye busara

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa benki zilizofilisiwa

    Usiulize ana haraka gani Januari hii mkuu Km pesa zako ziko intact mshukuru Mungu amekuepushia. By the way asante kwa mchango wako
Back
Top Bottom