NAFASI ZA KAZI ZA FREELANCER

Zulkifu

Member
Jun 6, 2018
36
19
Nafasi za kazi za freelance kwa wasichana watatu wilayani nachingwea,lengo ni kujiunga na team ya mauzo ya nachingwea.

Vigezo:
Awe alishawai kufanya.
Au ana uwezo wa kufanya.
Elimu ya darasa la saba au form four.
Nidhamu.
Awe ana uwezo wa kutengeneza wateja 10 kwa siku.

Kwa mawasiliano.0717115982 au hiyohiyo kwa WhatsApp.
 
Awe alishawahi kufanya nini?
 
Comrade si umewekewa namba ya Simu hapo chini? Ipige na utapata kila aina ya taarifa unayoihitaji.
Comrade ni ngumu sana,kwanza hakuna address ya ofisi,zaidi ya number ya simu,hajasema compo gani,kazi gani! Anyway ngoja watu waombe!!

Comrade nipo town,tutafutane
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom