Hivi maana ya neno "danga" lina maana gani nasikia Asley anatumia hilo neno

Danga maranyingi hutumika kwa jinsia ya kike liki maanisha ni mwanamke ambaye hutafuta pesa kupitia wanaume kwa kuuza papuchi
Kwa ninavyoelewa mimi kutokana na lafudhi yetu ya kitaa danga ni kitendo (kumchuna mtu)
Kinaweza kufanywa na mwanaume au mwanamke
Ukisikia mdada anasema anaenda kudanga au anadanga ina maana anaenda kutumia papuchi yake kutengeneza pesa
Na tafsiri nyingine
Danga ni buzi(fataki/atm machine etc)
Ukisikia mdada anakwambia hili ni danga langu ina maana ni buzi lake au fataki linalomuweka mjini.
Hii inatumika pia kwa vivulana navyo vinadanga sikuizi
Ndomana aslay ameimba sijaja kudanga(sijaja kutumia mkuyenge wangu kutafuta pesa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom