rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,715
Okay kila la kheriNdio.
Okay kila la kheriNdio.
MM wa kiume ila nina uzoefu na kazi hiyo nimefanya zaidi ya miezi mitatu nipo kimara mwisho namba zanguKaribu ufanye kazi kwenye duka la wakala.
Elimu si chini ya form IV na uwe unaishi Dar es Salaam, Ubungo. Masaa ya kazi: saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Mshahara utategemeana na sifa za mwombaji, na si zaidi ya laki moja. Karibu PM, taja sifa zako, mahali ulipo, picha moja na weka mawasiliano yako.
Hakuna interview. Only successful candidate will be contacted.
aisee, em subiri OP ajeMM wa kiume ila nina uzoefu na kazi hiyo nimefanya zaidi ya miezi mitatu nipo kimara mwisho namba zangu
0677003000View attachment 842337
Sent using Jamii Forums mobile app
rudi fb kijana, huku hapakufai sio mahala pake.MM wa kiume ila nina uzoefu na kazi hiyo nimefanya zaidi ya miezi mitatu nipo kimara mwisho namba zangu
0677003000View attachment 842337
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafutwa mke hapoNaanza kupata mashaka na hiyo kazi
Mkuu alipatkana mtu ila amefanya siku 6 nikaachana nae. Anachelewa sana kufika kazini.
mbona hujibu pm mkuuMkuu alipatkana mtu ila amefanya siku 6 nikaachana nae. Anachelewa sana kufika kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafutwa mke hapaNdio.
Alipatikana wa humuhumu JF?Mkuu alipatkana mtu ila amefanya siku 6 nikaachana nae. Anachelewa sana kufika kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
masikini kumbe hii kazi interview yake imefanywa kwa KY jelly.Karibu ufanye kazi kwenye duka la wakala.
Elimu si chini ya form IV na uwe unaishi Dar es Salaam, Ubungo. Masaa ya kazi: saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Mshahara utategemeana na sifa za mwombaji, na si zaidi ya laki moja. Karibu PM, taja sifa zako, mahali ulipo, picha moja na weka mawasiliano yako.
Hakuna interview. Only successful candidate will be contacted.
mkuu huyo aneyesemwa kuwa alipewa hiyo kazi ameshafungua thread humu ya mrejesho wa interview ya hii kazi na yaliyojiri kwenye kachumba cha interview husika ambapo ameweka wazi kuwa KY jelly ilihusika wakati wa interview.Alipatikana wa humuhumu JF?