Recent content by Mwendo Kasii

  1. Mwendo Kasii

    Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

    Muddy phzx nakumbuka kuna maswali mawili alitosolvia ya magnetism na yakatoka necta phyz paper 1 2014. My best teacher ever
  2. Mwendo Kasii

    Wanaume wote tuwe na wazo moja

    tusioe then tumgonge nano? au punyeto?
  3. Mwendo Kasii

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Nacho kiamini na kukijua Mimi ni kwamba, dunia sio flat bali ni oval shape. Na dunia ipo stationary centred na jua ndio huzunguka dunia.
  4. Mwendo Kasii

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Yaani wananiboa kama nn. Mtu post ni ndefu ila anang'ang'ana Ku quote yote.
  5. Mwendo Kasii

    Huu kweli ni utoto aisee

    Nilikuwa nadhani kuna nchi wanaishi cartoon. Kumbe ni mambo ya computer tu. Utoto balaa
  6. Mwendo Kasii

    Sioni kwa sababu kwanini nisimpendelee

    Huyu mi ananimaliza jamani. Namtafuta sijui ntampata wapi.
  7. Mwendo Kasii

    Msanii Barnaba wa THT aomba 'kolabo' na rais

    Mbona museveni ana single yake? Cha ajabu nn
  8. Mwendo Kasii

    Kuuliza sii ujinga! Mwanadamu ameumbwa kwa udongo gani?

    Algeria ipo Africa. Wale sio weusi ni weupe je unasemaje apo mkuu.
  9. Mwendo Kasii

    Tukio gani hutokaa Ulisahau Chuo Kikuu au Shuleni!?.

    sitosahau chuo mwaka wa kwanza pale Udom Informatics nliwahi kupata sifuri ya somo flan la madam agnesi linaitwa Computation Theory. daah nliwaza sana. yaani tangu darasa la kwanza hadi form six sijawahi kupata sifuri nakuja kuipata kwenye test chuo kikuu.. nliwaza sanaaaa. sitosahau ila...
  10. Mwendo Kasii

    Watanzania gani wenye IQ kubwa zaidi?

    Shk Ilunga Hassan Kapungu(R.I.P).
  11. Mwendo Kasii

    Wazo je tunaweza tukakutana wote wana JF tuliopo Dar?

    mkuu inabidi tukutane. maana Mimi nipo hapa nyabisare kata ya bweri.
  12. Mwendo Kasii

    Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

    Huo mkoa namba 3 upo nchi gani?
Back
Top Bottom