Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,736
My sweet mangii..... NakupendagaNimegundua kuoa mke mzuri, ni sawa na kuotesha mzambarau nje ya nyumba, na njia ambayo wanapita watoto wa shule.
Baada ya kusema hayo, sijutii kukupenda na kuwa nawe...Nakupenda sana wife!!!