Recent content by MWENDAKULIMA

  1. M

    Jifunze salamu za kispania ndani ya dakika tano

    Nimejaribu kutafuta sehemu ya kujifunzia hii lugha na Portuguese hapa Dar nimekwama. Unaweza kunisaidia?
  2. M

    Kozi za Engineering ziige kozi za Afya

    Mkuu kuna programme inaitwa SEAP (Structured Engineering Apprenticeship Programme) ilikuwa efficient sana ilianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita . Mimi nilikuwa mmoja wa wanufaika wa programme hiyo enzi hizo. Inasikitisha haikuendelezwa wala kukazaniwa na kuboreshwa kiasi cha kutosha imekuwa ni...
  3. M

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Attention Mesdames et Messieurs: y a-t-il quelq'un qui sait ou est une membre de n'importe quelle groupe de whatsApp de gents qui parlent le francais? S'il y a, ajoutes-moi s'il te plait . Je parle un peu cette langue mais je n'ai pas une personne avec qui je peux le pratiquer. je suis d'un...
  4. M

    Neno hili kikongo lina maana gani?

    Kitoko kwa tafsiri ya moja kwa moja ina maana "uzuri/nzuri" japo laweza kubadilika kidogo kulingana na muktadha Mwasi maana yake "mwanamke/mke/msichana" Mwasi kitoko = Msichana mzuri/msichana mrembo/mwanamke mzuri/mwanamke mrembo Mifano: Kitoko ya mwasi ya/na ngai eleki wana ya mwasi ya/na ye...
  5. M

    Nauza handmade Gabions

    Ungetupia picha mkuu ili kutushawishi maana "hand made" kwa wengine mimi nikiwemo ni kitu kigeni.
  6. M

    Serikali yawajibu UKAWA kuhusu safari za Rais

    Kwa hiyo kwako wewe taarifa hiyo imejibu hoja zote siyo? Kuna mtu mwenye jina kama lako alikuwa ni mmoja wa vijana walio kwenye ngazi za juu katika uongozi wa chama fulani cha siasa sijui ndiye wewe? Kama ndivyo nchi hii haitatoka hapa ilipo mpaka Yesu ataporudi.Pengine kuna vilivyoandikwa sisi...
  7. M

    Lugha gani nyepesi kujifunza!

    Mkuu wapi wanafundisha espanol kwa hapa Dar? na gharama zipoje?
  8. M

    Kosa kubwa ambalo waajiriwa wengi wanafanya na linawazuia kufanikiwa

    Kweli hizi ni nyakati za siasa yaani thread nzuri yenye mambo ya maana namna hii wachangiaji hata kumi hawafiki? Umeandika vizuri sana makirita Amani, kudos!
  9. M

    Mahojiano na BBC: Huyu Dokta wa Muhimbili ni Bingwa kweli?

    Hayo mahojiano ya dokta wako na BBC uliyaangalia?
  10. M

    Naitaji kazi ya Cliaring and freight forwarding port management

    Yaani hadi unamaliza kuandika,unapost bado haujaona kuwa kuna makosa kwenye uandishi?Na hadi muda huu haujarekebisha.Kuwa makini ndugu.
  11. M

    Tigopesa sio salama?

    Nakufuata PM mkuu,pesa zangu ziliwahi kutoweka kutoka kwenye akaunti yangu ya tigopesa.
Back
Top Bottom