Sehemu kubwa ya Binadamu ni Wapumbavu, dunia nzima

Sehemu kubwa ya Binadamu ni Wapumbavu, dunia nzima

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Nimebahatika kutembelea nchi nyingi Dunia hii, zote nchi tajiri na nchi Masikini, kitu mabacho nimejifunza ktk kwa Wananchi wa nchi zote hizo ni kwamba sehemu kubwa ya Binadamu wote ni Wapumbavu na haijalishi ni wa nchi Masikini au nchi tajiri, na kwa kuwa sehemu kubwa ya Binadamu ni Wapumbavu basi wanatoa nafasi ya kudanganywa na kutawaliwa maisha yao yote na kundi dogo la maelite ambao ndiyo wamejimilikisha Mali za walio wengi.

Kwa mfano nchi ya Marekani inasemekana asilimia moja (1%) ya Wananchi anamiliki zaidi ya asilimia 90 (90%) ya uchumi wa nchi hiyo lkn ukiongea na wananchi wa nchi hiyo watakwambia wanaishi in freedom, watakwambia wana demokrasia bora Duniani na cha kushangaza zaidi ukifika uchaguzi wanarundikana kwenda kupiga kura ingawaje inajulikana kwamba Raisi wa Marekani huteuliwa na hiyo 1% wanapewa ahadi kede kede kama vile Obama alivyowadanganya Change lkn mwisho wa siku hakuna alichokifanya!

Sasa anakuja Bush ambaye Baba yake, kaka yake pia alikuwa Raisi na wote walikuwa failure lkn anawapiga porojo kwamba yuko tofauti, anawadanganya hivyo hivyo watajazana tena kupiga kura lkn matokeo hayabadiliki bado 1% inamiliki Uchumi wote!

Ukija kwenye nchi kama Libya siku Gadafi ameuliwa na waLibya wenyewe chini ya NATO Walibya walikuwa wanafanya pati kushangilia. Kumbuka kwamba Libya wakati wa Gadafi wananchi wasiokuwa na kazi walikuwa wanalipwa na Ustawi wa Jamii, huduma zote zilikuwepo na ni Bure, walibya walikuwa wakimaliza Sekondari na kama amepata Chuo nje ya Nchi Serikali inalipa kila kitu, ingawaje Libya ni Jangwa lkn Gadafi alianzisha Mradi mkubwa sana wa Maji na Kilimo, yote hii kwa ajili ya Wananchi wa Libya lkn mwisho wa siku walicheza barabarani alivyouliwa na leo hii hata nchi hawana tena, Rasilimali zao wazungu wananyonya mafuta juu kwa juu wanaondoka wanaenda kuuza, kila kitu kimekufa!

Ukienda Singapore utakutana na Wananchi wanalalamika na kulaani Serikali yao kwamba ni ya kidikteta na haijafanya chochote tangu Uhuru ingawaje serikali hiyo hiyo wanyoilalamikia imeitoa Singapore ktk nchi masikini kwenda kuwa moja kati ya nchi tajiri Duniani, leo hi Singapore ni ya Tano kwa Utajiri Duniani...

Hivyo nilichojifunza ni kwamba sehemu kubwa ya Binadamu na haijalishi wako nchi gani ni Wapumbavu na hawajui hata wanataka nini na huwa kwa kiasi kikubwa wanastahili maisha wanayoishi!
 
Kama watanzania walivyo wapumbavu,ccm imewatawala kwa miaka 54 halafu inawaomba tena miaka mingine 5 eti ili ijenge viwanda vya kusindika samaki na nyama,miaka 54 ilishindwa kujenga leo itaweza kwa miaka mitano? Afadhali ya singapore maana miaka 54 iliyopita ilikuwa maskini sana lakini leo hii imekuwa tajiri na wakati hata raslimali haina,Tanzania ndo nchi yenye wapumbavu wengi kuliko zote duniani,na wapumbavu hao ni wanachama wa ccm,hawana tofauti na kondoo akili zao wanadanganywa na na marais watatu wa chama kimoja ccm walioshindwa kuleta maendeleo kwa miaka yote na kwa jinsi mitanzania ilivyo na ubongo wa kondoo imejiandaa kuichagua tena ccm,kama ccm miaka 54 waliyotawala wangeleta maendeleo na kuifanya Tanzania kuwa tajiri kama Singapore hapo ningesema wana haki ya kuendelea kuongoza,lakini kwa umaskini waliouleta kwa taifa hili hawatakiwi kabisa na yawapasa kunyongwa hadi kufa,stupid ccm.
 
Kudadadeki zako umeongea ukweli mtupu. Kula like 1000. Safi sana.
 
Watu wengi wamepumbazwa na dini zao. Wakristo , Waislam Wahindu n.k Ukiangalia hao wanaojiita madhehebu ya roho ndio kabisaaaa. akili zote zimehamia kwa wasichojua. Shida tupu
 
akili ya binadam inatabia ya kukizoea kitu na kukichoka!! iwe kizur ama kibaya.
ila cjui kwa nin tushaichoka ccm ila bado IPO tu!!
 
Watu wengi wamepumbazwa na dini zao. Wakristo , Waislam Wahindu n.k Ukiangalia hao wanaojiita madhehebu ya roho ndio kabisaaaa. akili zote zimehamia kwa wasichojua. Shida tupu

Wengi wao ni Maskini wa kutupa.
 
Back
Top Bottom