Lugha gani nyepesi kujifunza!

Lugha gani nyepesi kujifunza!

Kwa upande wangu naona Spanish ni rahisi kwasababu herufi zake nyingi zinaandikwa na kutamkwa Kama za kingereza. Kwamfano different-differente, Arrogant-Arrogante, Urgent-Urgente. Kwa kingereza na kispanish respectively.
 
Kama una enda kwa scholarship sawa ila Kama unalipa mwenyewe usiende

Vipi kama nitaopt kwenda kusoma Ukraine bila scholarship I mean nitajidhamini mwenyewez, nitamudu gharama za Ukraine!?

Kwanini umesema nisiende Russia bila scholarship!?
 
Hali ya uchumi ya Russia kwa sasa ni mbaya coz of political issue between Russia and USA and including Ukraine so if u hav money u better find another country but not Russia and Ukraine alafu uku degree ni miaka 4 plus 1 wa LUGHA so think twice
 
Kwa hiyo mbali na Russia na Ukraine kuna nchi yoyote yenye ada nafuu ambayo ninaweza kusoma masters huko majuu!?

Vipi kuhusu Canada, New zealand, maana nachohitaji ni chuo kiwe na ada nafuu, kisiwe na madai ya mwanafunzi kuwa na English profficiency certificates za Toefl au Ielts, uchumi wa nchi yake uwe murua kidogo.

Unanishauri vipi juu ya nchi na chuo cha kwenda kusoma aidha ulaya, marekani au Australia!?
 
Kwa nchi zinazo jielewa ile pepa ya kingereza muhimu sasa jalibu canada mana kule Ata kazi utafanya ila Russia kazi hufanyi ingawa nchi nyingi zina jielewa zina kuwa na masharti magumu kweny mambo ya benki statement ila fatilia canada iko vizuri
 
Mkuu nashukuru kwa kuliona ilo swala kuna watu wakera

hao ndio kizazi cha wamezeshwa fikra,wamezoea hivyo.
Lugha nyepesi kujifunza ni lugha ya kispania (la lengua que es muy muy eficil por estudiar es lengua de español porque tu puedes escribir como sido escribido) kwa kuwa unaweza kuisoma vile vile kama ilivyoandikwa na tofauti ni chache sana.
BIENVENIO ESTUDIAR ESTE BUENA LA LENGUA (karibu ujifunze lugha hii nzuri).
 
Mucho gracias senor!
 
Mkuu wapi wanafundisha espanol kwa hapa Dar? na gharama zipoje?
 
kwa Dar kweli sifahamu kwani mimi naishi Arusha,kwa hapa Arusha kuna baadhi ya vyuo vinafundisha na gharama zinatofautiana kuna ila haizidi elfu 40 kwa mwezi.
Ni lugha ambayo hailipiwi gharama kubwa sana na pia ni rahisi hasa kama tayari unajua lugha ya kingereza.
Jaribu kuulizia kwenye vyuo vidogo vidogo vya huku Dar labda utaweza kupata MWENDAKULIMA .
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mbali na Russia na Ukraine kuna nchi yoyote yenye ada nafuu ambayo ninaweza kusoma masters huko majuu!?

Vipi kuhusu Canada, New zealand, maana nachohitaji ni chuo kiwe na ada nafuu, kisiwe na madai ya mwanafunzi kuwa na English profficiency certificates za Toefl au Ielts, uchumi wa nchi yake uwe murua kidogo.

Unanishauri vipi juu ya nchi na chuo cha kwenda kusoma aidha ulaya, marekani au Australia!?
Unaweza kwenda Germany. Kusoma chuo ni bure hata kwa international students. Na mara nyingi unapewa option ya lugha za kusoma mfano German au French.
 
Je! Ni lugha gani nyepesi sana kujifunza, weka pembeni kingereza na kifaransa.

Wepesi wa kujifunza Lugha, hutegemea Zaid ushabihiano Kati ya Lugha unayo/unazozifahamu dhidi ya Ile unayoidhamilia kujifunza.
 
.... Mfano. Mtu anayefahamu vizur Kinyakyusa, Kindali ni Lugha nyepesi Zaid kwake kujifunza
 
Back
Top Bottom