Naitaji kazi ya Cliaring and freight forwarding port management

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
727
53
Mwenye nafasi katika company yake ninadiploma chuo chabandari nilicho soma 0755984282
 
Clearing smart phone muda mwingine zinatushinda ila lugha kukosea sio kitu chajabu
 
Sasa mkuu kuandika tu clearing ni tatizo,kazi yake utaiweza kweli hata kama mimi ndiyo muajiri?

alafu system ya tz ilivyokuwa unfair na mbovu mtu kama huyu anaweza kupata kaz bandarini akawa analipwa m na point + housing, lunch na transport allowances!
 
Mimi nina fani mbili clearing and freight forwarding na shipping and port management....nisaidie hapo
 
Logistics and transport studies.
Napatikana dar es salaam
Pleasr kwa upatikanaji wowote wa kazi tafadhali tuwasiliane kwa 0653811003/0762972021
 
Haaa haaa aya wangeleza ila kwamsingi washule zakata typing error kitu chakawaida nashanga kuwa topics
 
Moja kati ya makosa makubwa ambayo mtafuta kazi akifanya hapata kazi hiyo ni kukosea jina la kazi anyoitafuta, kukisea jina la mwajiri wake mtarajiwa, kukosea jina lake n. K. Sasa wewe hata kuandika clearing unashindwa na unasema una diploma. Mmmm. Tafuta.
 
Haaa haaa aya wangeleza ila kwamsingi washule zakata typing error kitu chakawaida nashanga kuwa topics

Hyo sio inshu ya typing error najua wabongo hamkosag visingizio eti mara ooo ni typing error tatizo la shule ya kata, hyo jins ulivoipresent kwenye uzi inaonesha kabsa kwamba ulikuwa unasumbuana na mzee kwenda shule...labda ungeitype yenyewe ila ukamiss hata spelling moja ungeeleweka lakini wewe sijui ulitaka kuitafsiri kiswahili au vip!
kwa stail hyo msipopita interview mkakosa kazi mnalalamika eti hakuna ajira kumbe ni wew mwenyew....
Kuwa mwelewa wala hakuna aliye na nia ya kuifanya iwe topic kama unavodai....
Jifunze kujifunza vinginevyo Ukiwa kichwa ngumu utaishia kulalamika kila siku kuwa wahuni wanakubabulia bitch ako kumbe uliyataka mwenyewe. ni hayo tu mkuu!
 
Moja kati ya makosa makubwa ambayo mtafuta kazi akifanya hapata kazi hiyo ni kukosea jina la kazi anyoitafuta, kukisea jina la mwajiri wake mtarajiwa, kukosea jina lake n. K. Sasa wewe hata kuandika clearing unashindwa na unasema una diploma. Mmmm. Tafuta.

umemsikia yeye mwenyew anasema eti ni kitu cha kawaida...
Ushauri wa bure-kama ana ndugu mwenye kampuni amtafute akamuajiri huku kwengine atapoteza nauli tu za nenda rudi nenda rudi mwshowe ataingia ofis za watu na lapa
 
AsantpjMarlu umechukua muda sana ila usijali umejichosha kwakuandika muda mrefu hakuna kitacho nisaidia ktk kuandika kwako
 
AsantpjMarlu umechukua muda sana ila usijali umejichosha kwakuandika muda mrefu hakuna kitacho nisaidia ktk kuandika kwako

mkuu pixono

anayokushaur yana maana kubwa kwako ila unayadharau hakika kwa maneno unayotumia hapa ni ngumu sana kupata kazi

Naiman una elimu nzur ila umekosa BUSARA na kwa kauli unazotumia ni ngumu mtu kukupa ajira

vijana tubadilike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom