Recent content by mwehut

  1. M

    Ukichukua bank statement CRDB unakatwa tsh 11,000/=

    Sasa statement ni page ngapi..na nini wanatoa ili kumvutia mteja..maaana itafika mahali kuuluza swali mapokez unlipia
  2. M

    Kuendekeza ofa kutawamaliza wanawake

    They short sighted
  3. M

    Kufikishwa Mahakamani watuhumiwa Escro ni usanii mtupu

    Ngoja uone wanashinda kesi na kudai fidia
  4. M

    Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania

    JF wote hatutoshi kutoa hamasa kwa umma mzima..so changes will come slowly
  5. M

    Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

    Hao ni kama nzi..wasumbufu ukiwa unakula..ukimaliza kula huwaoni.(wasumbufu wakiwa Posta tu)
  6. M

    Ajira za Umma ziwe za mkataba usiozidi miaka 3 na kwa Mihula Miwili tu

    Hoja aliyotoa mleta uzi .haina mashiko
  7. M

    Nimemuachia bill mchunaji

    Hapo wenzio hiyo 29000 iongezwe sifuri moja hata hatushtuki na kesho tumoo
  8. M

    Japo ninalazimishwa kuamini, lakini bado nasita!

    Yaaan amin usiamin mkeo anaweza kuwa anataka kitu kidogo sana..umuite tu mpenzi..uonge ujinga ujinga ..sio kila mara hela this hela that
  9. M

    Wizara ya Kazi na Ajira, Wizara ya Viwanda na Biashara wanafanya nini?

    Watanzania ni kichwa cha wendawazimu..siku moja utagundua hilo..yaan million 45 wenye akili moto kama milion 1 tu wengine mbululaz. Utabisha... Hapa watu wana akili za kuvukia barabara tu. Ushaona wamegomea kitu..ushaona wakipinga kitu..ina maana mambo yoote yanaenda sawa. Ukimya ni busara...
  10. M

    Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    Ndio ujue tuna tatizo kubwa kiasi gani..
  11. M

    Bilionea tajiri wa kampuni ya usafirishaji Tripple A, Hussein Jeta anataka kuniua

    Mara nyingi utaitwa shujaa wakati umeshakufa...wewe mwenyewe umeshasema jamaa ana hela na wewe huna.. Asikudanganye mtu..labda iwe sio bongo fungua keso na uwezi kushinda. Fanya tathimin kama vita huiwezi tafuta ugali wa wanao..usiwatese. To retreat is to advance in another directon
  12. M

    Wazo mbadala: Kwa wale wanaohangaika kutafuta kazi

    Hongera..wazo zuri Kutembea tembea nako kunasaidia
  13. M

    Bilionea tajiri wa kampuni ya usafirishaji Tripple A, Hussein Jeta anataka kuniua

    Pole sana...nakushauri usitafute kitu ambacho huna uhakika wa kukipata..umesharipoti hilo tukio inatosha. Tafuta kazi sehemu nyingine..kama mtu alikuwa tayari kukuua mchana kweupe..unadhani ukianza kushindana nae atashindwa kukubambikia issue ili ufungwe jela na familia yako iteseke. Anza...
  14. M

    Mjengo wa Drogba Noma Sana

    Nna penda kusema kwamba. Kama nyumba hiyo iko ulaya ni kama ameazimwa tu..afadhali iwe africa anaweza aKaishi humo mpaka akapata wajukuu.
  15. M

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kuhusu kuoga maji ya baridi..nimewapa tiba ambayo ni bure..naona mnaamini tiba za kulipia..na kumeza tembe..sawa endeleeni na imani hiyo. Inagharimu nini kujaribu kuoga maji ya baridi mara kadha kwa siku huku ukifwatilia maendeleo ya sukari yako alafu uje na facts kuwa haisaidii chochote. Hii...
Back
Top Bottom