Japo ninalazimishwa kuamini, lakini bado nasita!

Japo ninalazimishwa kuamini, lakini bado nasita!

Yaaan amin usiamin mkeo anaweza kuwa anataka kitu kidogo sana..umuite tu mpenzi..uonge ujinga ujinga ..sio kila mara hela this hela that
 
Ni ngumu sana kuelewa mwanamke anataka nini. Ni kama mtoto mdogo ambae ajui toi lipi ndiyo kapendezwa nalo. Ishi nae kwa akili tu.
 
but marriage goes in waves.you got to be patient.dont bail and give up way too early on the ground of ''bad attitude''.you have got to suck up your ego too,because that can be a big downfall.see eye to eye and confound your enemies(vizabizabina)

thanks, got you!
 
Hapo raha sana, na itakuwa vema, kama atamsifia bosi wako, au amsifie yule rafiki yako mwenye kipato kikubwa, na utaona mafanikio yake.

Hongera zake.

Mbona huko hivyo....usiongee ukamaliza maneno.........kuna mzee mmoja aliwai kuniambia.
 
Bado sijaoa ila story yako inanipa mafundisho kujua maisha ya ndoa yako vipi...

Katika pita pita zangu nilikutana na huu usemi...women's don't know what they want...

Inaonekana Mungu ndio aliamua wawe ivo ili kukamilisha ule unabii wa kwa jasho mtatafuta..

Hata kwenye bible Nabii Ibrahim halishindwa kufanya maamuzi sahihi sababu ya mwanamke
 
Back
Top Bottom