suleimanjumamaulid
Member
- Oct 18, 2014
- 34
- 10
Nashangaa unapanic kwa mambo madogo tu ndugu .
hahahahah..... We mwenyew stranger, how come unaanza kum-test galfriend wako kwa ujinga huo???
juzi niliamua kumzingua mmoja kati ya wapenzi wangu kwa kutumia namba mpya ambayo haijui tukawa tunachat mwisho wa siku nikamuomba nimtoe for lunch akasema nimtumie nauli nikamtumia na kweli akaja akanikuta namsubiri eneo la tukio nikamwambia mbona umewahi sana akabaki kutoa macho nusura aanguke sasa kiumbe kama huyu unamfanyaje,wanawake mtatuua utaendaje kula lunch na stranger ndiomaana mnauliwa

Kama yeye ni mmoja wa wapenzi wako unategea nawe uwe nani?????
shikamoo kaka naomba namba ya uyo shemeji.na namba yake nimeshaifuta
hahaha umekosea kidogo ungemtafuta stranger ukachonganisha mchezo halafu unakuja kujitokeza mwishoni... uone kifuatacho ITV
sasa kama we ulmpata kirahisi unategemea wengine wakataliwe? come on boyzHuo sio ujinga...ila alikusudia kujiridhisha kama mpenzi wake ni mwepesi kuitika kwa dume lolote alimuradi akiahidiwa mambo mazuri.
Juzi niliamua kumzingua mmoja kati ya wapenzi wangu kwa kutumia namba mpya ambayo haijui tukawa tunachat mwisho wa siku nikamuomba nimtoe for lunch.
Akasema nimtumie nauli nikamtumia na kweli akaja akanikuta namsubiri eneo la tukio nikamwambia mbona umewahi sana akabaki kutoa macho nusura aanguke sasa kiumbe kama huyu unamfanyaje, wanawake mtatuua utaendaje kula Lunch na stranger ndiomaana mnauliwa.