Ukichukua bank statement CRDB unakatwa tsh 11,000/=

Ukichukua bank statement CRDB unakatwa tsh 11,000/=

Dompo moja kelelehivyo ukiomba ya mwaka uwiii
 
crdb benk statement ya miezi 6 tsh 10,000/= ya mwaka mzima tsh 20,000/= crdb ni wezi aisee!
 
ulichukua statement ya muda gani? kwa nnavyojua ukiomba statement ya kati ya mwezi hadi miezi mitatu ni bure, zaidi ya hapo wanatoza kadiri muda unapokuwa mrefu.

Mkuu ilikuwa majuz tu ni alhamis hapa ndipo nilipoitaj na nikitaka ya kuanzia tarehe za 30/12/2014 mpk ya tarehe 15/01/2015 ndipo waliponiambia tunakukata 11,000/ na kisa cha kutaka statement baada ya kwenda atm nikaona salio langu silielewelew ndipo nikaona her nichukue statement
 
Nilishangazwa na hii kitu majuz nilipoenda kuchukua Bank Statement ya A/C yangu then nikaambiwa unalipia 11,000/= …!! Nikajiuliza ni ile ya karatasi,wino wa printer na pen za kusain au mengine…!????

Watumiaji wa NMB, EXIM na nyinginezo nanyi mukatatwa viwango hv? Na nani anazisimamia haya mashirika ili yasiwanyonye wateja wao……???
Mkuu benki statimenti uwa wanatuma free ukiwa na email, wateja wa crdb wanapata bure kila mwezi, ila kwa ignorance lazma utozwe.
 
leo mie nimeenda kulipia bill ya maji nikaambiwa nitoe elfu moja "kamisheni"
Nimeshangazwa sana.

Kwa iyo mkuu unampa agent kazi ila kwa sharti kuwa akupelekee hela bure? Kwa nn usimpe unayemlipa hela yako then uende benki ili benki ikupelekee kwa contractual party wako? Alaf uyo agent anakula wapi? Au akae tu juani, unampa kazi unasepa , yeye apeleke tu?
 
Mkuu ilikuwa majuz tu ni alhamis hapa ndipo nilipoitaj na nikitaka ya kuanzia tarehe za 30/12/2014 mpk ya tarehe 15/01/2015 ndipo waliponiambia tunakukata 11,000/ na kisa cha kutaka statement baada ya kwenda atm nikaona salio langu silielewelew ndipo nikaona her nichukue statement

hapo wamechemka asee. itakuwa ulihudumiwa na asiyejua kazi. ungejaribu kuonana na 'immediate supervisor' wake au meneja kabisa.
 
Si nasikia ni benki inayomsikiliza mteja, hamkukubaliana kweli hiyo charge..
 
Crdb wanatoa bank statement bure kwa kila mwezi;ukitaka kwa robo mwaka na kuendelea hapo ss ndo kuna mambo ya makato;ila waweza kwenda kwa branch mgr coz inaonekana wamekuibia
 
Crdb wanatoa bank statement bure kwa kila mwezi;ukitaka kwa robo mwaka na kuendelea hapo ss ndo kuna mambo ya makato;ila waweza kwenda kwa branch mgr coz inaonekana wamekuibia

statement ya chini miezi 3 ni bure.

lakini ya miezi 6 elfu10

ya mwaka mmoja elfu20
 
Sasa statement ni page ngapi..na nini wanatoa ili kumvutia mteja..maaana itafika mahali kuuluza swali mapokez unlipia
 
hapo wamechemka asee. itakuwa ulihudumiwa na asiyejua kazi. ungejaribu kuonana na 'immediate supervisor' wake au meneja kabisa.

Ok sawa mkuu nimekusoma
 
Siku hizi siweki pesa bank miaka 3 sasa imepita. Nilinote mambo mengi ya k.i.s.e.n.g.e na k.i.k.u.m.a yanayofanywa na ma bank yetu hapa bongo hasa crdb.

Mh! Mkuu umeogopa sensorship! Umeweka nukta .nukta! Hahaha! Subiri ban ya Invisible
 
ulichukua statement ya muda gani? kwa nnavyojua ukiomba statement ya kati ya mwezi hadi miezi mitatu ni bure, zaidi ya hapo wanatoza kadiri muda unapokuwa mrefu.

Mie nilitazama statement kwa sim banking ya crdb nikakatwa 2500 nikakomea kupata transaction tatu tu. ukitazama salio unakatwa miatatu, bora nitunzie hela kwenye Mpesa.
 
Back
Top Bottom