Recent content by mwatedachi

  1. M

    Hivi wana JF humu hatufi au sisi ni malaika??

    Hivi unajua maana ya hilo jina ambalo ww unatumia kama ID? Naomba jibu lkn Leo jitahidi kuwa na lugha ya kistaarabu kidogo
  2. M

    Slaa: Ikulu imemdhalilisha Warioba

    Kumbe source ni "Tanzania daima"...!!
  3. M

    Mfahamu Salma Kikwete

    Masolwa acha ubishi bhana...! Mbunge mtarajiwa wa bariadi mashariki
  4. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bayern lazima apakatwe Leo.. Kwa mlio kariri ni kwamba not everyday is Sunday..! Naona kama kuna hat trick ya Rooney..!
  5. M

    Aya!mechi ya Man U Vs Man city,imenifanya nione nakusikia nisivyopasa kuona

    DELAKO upo sawa wewe ? Naona kama center bolt imekata
  6. M

    Daladala

    Neno daladala ckumbuki exactly mwaka lilipoanza kutumika icpokuwa reason ya kuitwa hivyo ni Kuwa wakati huduma zinaanza nauli yake ni sh 5 ambayo exchange rate yake kwa kipindi hicho ilikuwa ni $1 sasa watu badala ya kusema dollar wakawa wanaita dala. Ni sawa na eneo la chekereni pale...
  7. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    The world is going to be surprised today..! Man city is going to be taught a lesson
  8. M

    Ajali basi la Hood

    Picha tafadhali,pia fafanua ajali ilikuwaje kuwaje na kuna msaada wowote uliotolewa mpaka sasa? Vp hali za majeruhi na kama kuna aliepoteza maisha,plz tujuze
  9. M

    Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

    Olesaidimu upo mkuu? Kuna link moja nimeiona mahali inasema ndege ipo Saudi Arabia kwenye yard moja kubwa sana ya prince na Abiria wote wapo safe.ngoja niitafute muione wakuu
Back
Top Bottom