Recent content by Mwasi

  1. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

    Kweli mkuu, mtu akijua haki zake na kutokubali upumbavu eti anakiburi na jeuri, huko ni kutokujiamini tu kwa wanaume.
  2. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Kweli Mkuu bora kubaki chini kwa amani
  3. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa tumaini letu.
  4. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    Group G ni group la kifo kabisa hilo.
  5. Mwasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Very sad news indeed, RIP Dr. Mvungi.
  6. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amtembelea Mtanzania anayedhalilisha watanzania huko UK (Picha)

    Nimewaza kama wewe sio bure lazima hazimtoshi kichwani. Asingejizalilisha hivyo.
  7. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D

    Hata mimi namkubali mkuu Marire.
  8. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D

    Nimeipenda 'The next president of the URT'. Mungu akulinde Dr. Slaa.
  9. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Thank's God, to have a Baby Girl..!!

    Hongereni sana Sizinga. Mungu awalindie na kuwakuzia kwa afya njema na baraka tele.
  10. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Maskani/Getto Zinawanyima Wanaume Wakibongo Maksi Sanaaaa! Full Kukomaa Na Hoteli!!!!!1 LOL!

    Smile umeongea point kabisa, nakubaliana na wewe kwa 101%. Kama umempenda mtu wala hutaangalia ana nini walahi hata kwangu anahamia tu kama nampenda na yeye ananipenda kiukweli. Hela zinatafutwa tu, ili mradi awe mkweli.
  11. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Unajua anavyovihitaji mwanamke kutoka kwa mwanaume ??

    Nahitaji mapenzi yake tu kwa kweli....love love love....to be loved that is all I need.
  12. Mwasi

    JamiiForums Tanzania The Window Through Which We Look

    Ansate kwa wimbo BAK ...umenikumbusha enzi zetu za secondary na huu wimbo.
  13. Mwasi

    JamiiForums Tanzania WANAWAKE kukaa hovyo ni kujisahau tu au makusudi?

    Yes, it could be up to 99% intentionally.
  14. Mwasi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Good luck mamii. Ila vumilia comment za watu zisikukatishe tamaa, muombe Mungu tu kukutana ni popote.
  15. Mwasi

    JamiiForums Tanzania WANAWAKE kukaa hovyo ni kujisahau tu au makusudi?

    Ni makusudi..hakuna kitu wanawake tuko-sensitive kama kukaa uchi.
Back
Top Bottom