Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #21
ha haaa, nani huyo akuchezee ngoma? kwa lipi hasa?Mmmmmh,
Nshaambiwa nitachezewa ngoma ya nkonombwe
ngoja nicool kwanza.
ha haaa, nani huyo akuchezee ngoma? kwa lipi hasa?Mmmmmh,
Nshaambiwa nitachezewa ngoma ya nkonombwe
ngoja nicool kwanza.
my dear, siku hizi siyo za kukaa chini kusubiria mtu akufanyie.....Wakatisha tamaa wapo wengi tu,
Japo wakikaa kando nao roho zinawauma.
Huwa nawatamani sana akina mama ambao wana
maendeleo kutokana na jasho lao;
mimi pia nadhani hivyo.....nadhani mpwa kujua kama kioo ni kichafu sio kazi kubwa sana au?
nadhani mpwa kujua kama kioo ni kichafu sio kazi kubwa sana au?
mtani wangu hapa ni swala la kujiangalia mara kwa mara na kujifanyia usafi.
Ngoja nikuambie kitu, hii ni kweli kabisa kwangu. huwa nikichukizwa na mtu huwa mara nyingi sana nakaa kujifikiria kwa nini imetokea. nawaza scenario nzima na najitahidi kujiweka upande wa huyo mtu na kupata picha ingekuwaje mtu anifanyie nilichomfanyia mimi...... nikijiridhisha amenikosea na-relax, otherwise naenda kuomba msamaha
ha haaa, mtani kwa kunisifia.......Mtani na hilo ndio jibu haswa nilikuwa nalihitaji kwako...nilijua kwa vyovyote mtani wangu utakuwa na funzo la kutoa.
Najua sasa wengine watachukua notsi hapo...
karibu sana mkuu....hii topic imenigusa mkuu
congraturate
ha haaa, hawa nao walikuwa wamechokana tu.......
ni kuunguza tu au walikuwa na mengine?
ha haaa, kumbe lilikuwa dongo?Hapana rafiki hawa walikuwa hawana bifu lolote lile, lakini ndiyo mabifu yasiyo kuwa na kichwa, miguu wala mkia huanza hivi na baadaye kuvuka mipaka na kuiweka ndoa mashakani. Inabidi mmoja ajishushe, "Mume wangu samahani ni kweli chakula kiliungua nitajihidi nisiunguze tena." au "Mke wangu ni kweli chakula hakikuungua hata harufu ya kuungua kwa chakula haikuwepo inaelekea kilishika kidogo tu kama ulivyosema." vinginevyo ndio madoa ndani ya ndoa yanaanza taratibu, "Huyu mke wangu amekuwa na kiburi sana siku hizi." au "Mume wangu anafuatilia mambo ambayo hayastahili kabisa kufuatilia hayana kichwa, miguu wala mkia." lol!!!...Chezeya ukiwa unapika huku ukiwa kwenye BBM weye!!!! 🙂🙂🙂
ha haaa, kumbe lilikuwa dongo?
delivered!
nilikuwa nakutania, lol!hahahahah lol! hapana banaaaa
karibu sana mdogo wangu....
karibu Bishanga.....thanks Fixed Point,ngoja nifowadi kwa mke wangu na mahawara zangu wakome kuchungulia kwa jirani.....
nilikuwa nakutania, lol!
Mhhhh! haya bhanaaaa....Angalia hii kitu huko unakopita ina umuhimu mkubwa sana 🙂🙂 kuwa nayo katika libarary yako. Usisahau kuiandika, "Kwa hisani ya BAK wa JF" hahahahah lol! Mambo ya TGT hayo!!