inamaana hawahisi ongezeko wa ubaridi maeneo haya? mi ninavojua hewa ikiwa inapita maeneo hayo utashtuka tu kua mlango uko wazi...wengine wako hivyo na hawana makusudi yoyote mazuri wala mabaya. Ndivyo walikua wako miscellaneous naweza kusema!
lakini kwa mjini wapo ambao si bahati mbaya, wana malengo yao. Utawakuta vibarazani asubuhi wamejiachia tu na ukijaribu kuwaangalia utakutanisha nao macho nao wanakutazama kuhakikisha kwamba umeona maonesho yao... Wengine asubuhi tu unakwenda kazini unakutana nao wanafanya usafi lakini wametupiamo tu khanga moko tena kizembe-zembe kabisa.....
inamaana hawahisi ongezeko wa ubaridi maeneo haya? mi ninavojua hewa ikiwa inapita maeneo hayo utashtuka tu kua mlango uko wazi...
Sikuhizi wadada wengi hawana private parts, zote public.
Wakati ww unaona wamekaa uchi wao wanatamani sheria ipitishwe ya kutembea uchi, maana hata hzo nguo chache walizovaa wanaona ni kero
Ni makusudi..hakuna kitu wanawake tuko-sensitive kama kukaa uchi.
Heee ngoja na mie nikae vizuri. ni bahati mbaya mwaya.
Yes, it could be up to 99% intentionally.do u mean dt its a deliberately action?