Mwasi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2010
- 246
- 87
Kweli mkuu, mtu akijua haki zake na kutokubali upumbavu eti anakiburi na jeuri, huko ni kutokujiamini tu kwa wanaume.
Hili si kweli labda useme baadhi yao, mimi nawafahamu wasomi tena wa hali ya juu lakini ni watu poa sana. Hawana majivuno wala maringo, ila wnazijua haki zao na hawakubali upumbavupumbavu wa aina yoyote ile.