Bangu-silo
Senior Member
- Jan 9, 2013
- 191
- 74
Hongera sana mkuu!
Natamani sana mtoto na siku nitakayopata cjui nitakuwaje na nitamshukuruje Mungu.
Natamani sana mtoto na siku nitakayopata cjui nitakuwaje na nitamshukuruje Mungu.

God's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa msaada wenu wa mawazo: Kajifungua kwa OPERATION, pale Mount Mkombozi Morocco, na siku ya pili tu akawa ameruhusiwa!! Mama na Mtoto wote wanaendelea vizuri. Gharama halisi ukiondoa takataka zingine ni laki 7 tu. Thanks!!
Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/515511-gharama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html
I real appreciate all: Wanasema First Born akiwa wa kike basi ni Baraka!! A baby makes LOVE stronger!! Natumai kujaliwa na kuzidishiwa mema zaidi onwards!!
​![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cc: Mdia, Heaven on earth, miss strong, Uliza_Bei, DEMBA, Kijino, kabanga, OLESAIDIMU, Shark, BAK, MWAMUNU, bornagain, The secretary, christine ibrahim, Mkempia, Mkunde Original Dahlia, snowhite, ako me maste, Chabo, donbeny, nosspass, lukindo, BelindaJacob, dolevaby Jeji, Angelicious msemakweli2 monaco Ennie Marylyn jaxonwaziri Eli79, Tutor B The Boss na Wooooooote!!!
Congratulations are in order mkuu Sizinga karibu klabu ya wazazi

kabanga
mbona una masihara sana mkuu...haha hahaa mi niko gado sana tu nadunda
ingawa kwa sasa nipo bankrupt lakini si unaona tarehe zenyewe hizi?
karibu mifuko itatuna tena mkuu!!
What a blessing...thats awesome...thankshongera sana mkuu
thats a blessing
Thanks mkuu Kaizer.....ni-tag basi kwenye hiyo club aisee...ndio tunaanza majukumu hivyo!! Mchele robo kwa siku!!Congratulations are in order mkuu Sizinga karibu klabu ya wazazi
Thanks Madame DEMBA ubarikiwe sana!!hongera sana Sizinga for the baby girl. mungu aibariki familia yako.
Hongera, ila gesi inatoka
cc BigShow
Hahahaaaa hilo jina linaitwa nikiwa kazini...as if lipo mgongoni vile....thanks sana.Hongera sana injinia...Mungu awajalie afya njema mama na bintiye.
oooh,jamani how com sikuona huu uzi........be blecd kwa kutuletea mrembo.Mungu awatangulie mkuu
hongera sana MUNGU amekupa kwa amini yangu DAMU YA YESU IMFUNIKE ikomboe kila baraka zake iondoe kila roho chafu zinazomfuatilia asimame imara akiishi kwa kumtegemea MUNGU Sikuzote akijazwa na awe kichwa na sio mkia na baraka zote ziwe juu yake kama zilivyoandikwa kwenye kumb 28:1-14.
ila hili la hapa chini ni lako
umetisha kidogo kuonekana unaogopa sana matumizi ya mtoto na umeonekana kama unalalamika kwa namna fulani tafadhari hili naomba ulifute linaweza kumletea unyonge mtoto katika maisha yake.
kwa kuwa tunaamini kuwa mtoto anasikia na kuelewa kila kitu au anaweza asikupende ikiwezekana mwombe msamaha kwa matamshi yoyote yaliyonekana ni manunguniko kwa mtoto vya viatu vyake na yeye avae vyako uone maumivu yake
pole kwa maumivu lakini vinginevyo ninafuraha pia kwa mtoto wako.