Recent content by Mwashilungu

  1. M

    Who is online right now

    Here I am
  2. M

    Msaada wadau

    Nenda uhamiaji
  3. M

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    Nakushauri vilevile nenda Ekenywa hospital ipo mwembechai magomeni kuna Dr bingwa wa magonjwa yakina mama.
  4. M

    Waziri Masele alishawahi kufukuzwa Tigo?

    Jamani ni kawaida kwa Taasisi kutangaza katika vyombo vya habari mtumishi akiacha Kazi hata kwa kufuata taratibu hii hulinda kampuni endapo itatokea mtumishi akatumia jina la kampuni kwa manufaa yake binafsi hvyo masele baada ya kupata ubunge aliacha Kazi tigo tatizo liko wapi?
  5. M

    Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Kwa kweli kwa kauli ya Leo mwigulu mchemba ameonesha sio mnafiki mzalendo wa kweli
  6. M

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Kichekesho professor anasema wamelipa takribani Bil 66 kwa kampuni ya mkono kama gharama za uwakiri hivi mkono hiyo Kazi ya uwakili alijipa mwenyewe na kabla hajafanya Kazi za uwakili si waliingia makubaliano sasa hzo story anazileta hapa za nini?
  7. M

    EDWIN NDULIMI:Amwanasheria aliyefukuzwa tanesco yuko wapi?

    Sasa hvi yupo Tumaini anafundisha sheria
  8. M

    Media Gani iko Online nisikilize Bunge na Mdahalo wa Leo?

    Angalia sibuka na ITV mdahalo umeshaanza.
  9. M

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    Mbeya ogopa sana Tunduma-Mbozi na kiwira-Rungwe
  10. M

    Utumishi wametoa majina ya walioitwa kazini

    Jamani TGTS D1 na TGS D1 ni tofauti msikalili kwa b'se TGTS this is Tanzania Government Teachers Scale na TGS Tanzania General Scale hzi ngazi za mishahara hazifanani previously TGTS ilikuwa kubwa but kuanzia July 2014 TGS ni kibwa kuliko TGTS na sababu ya kuwa kubwa vidato vya TGTS...
  11. M

    Utumishi wametoa majina ya walioitwa kazini

    TGS D ni 630000/= kama hujua kaa kimya kuliko kupotosha Umma.
  12. M

    Ushauri: Kujitoa NSSF

    Cheki calculation kwenye web yao na unaweza kutumia benefit calculator ipo vilevile kwenye web ukajua kabisa utalipwa sh ngapi
Back
Top Bottom