Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
kuna rafiki yangu kapata Afisa Utumish..... alisoma Mzumbe
ye kapata kupitia Mgongo wa mtu
ye kapata kupitia Mgongo wa mtu
TGS D ndio shilling ngapi
567,000/= bado VAT,PPF,NHIF na PAYE haijaguswa hapo.
inferiority complex.. jiamin mkuu! kwani lazima tujue chuo ulichosoma ni bora kuliko vingine..what matters most elimu uliyoipata imekukomboa!!?
TGS D ni 630000/= kama hujua kaa kimya kuliko kupotosha Umma.
kuna rafiki yangu kapata Afisa Utumish..... alisoma Mzumbe
ye kapata kupitia Mgongo wa mtu
Pumbavu we! hiyo hela unaiona nyingi sana.Alafu uwe na akili kidogo hiyo ni TGS D1 kwa anayeanza.
Angesoma Havard huyu angetuona wote kunguru. Mzumbe tu hapo anapayuka.
567,000/= bado VAT,PPF,NHIF na PAYE haijaguswa hapo.
TGS D ni 630000/= kama hujua kaa kimya kuliko kupotosha Umma.
Hiyo ni TGTS D, TGS D ni 625,000
So hiyo ndio point ya kujinasibu. What if waombaji wengi walitokea Mzumbe kuliko vyuo vingine..!!! It's obvious kwamba wengi wangekuwa selected. Btw, mi sio mshabiki wa vyuo ila naona kuna dosari kwa huyo mshabikia vyuo.Kwa fani za uongozi mzumbe inawesa kuwa kali zaidi kuliko havard... Kwa context ya Tanzania na afrika
havard inasifika ktk sheria
Hata bila mgongo wa mtu... Angepata tu.. Mzumbe kiboko ktk management science
TGS D ndio shilling ngapi
TGS D starts with Tshs 625,000/=
Amekaa miaka kibao bila ajira.... hata maombi hakutuma jina limefanywa kupelekwa tu