EDWIN NDULIMI:Amwanasheria aliyefukuzwa tanesco yuko wapi?

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
1,001
1,500
nimfuatilia taarifa ya PAC bungeni leo. waikili wa tanesco edwin ndulimi alifukuzwa licha ya utumisi wake uliotukuka kwa taifa ili. nani anajua mahali alipo? anafanya nini au wameshamumwakyembe.. kwahili tushikamane ili kama ana tatizo la kishughuli tumuwezeshe
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,590
2,000
Huyu Jamaa ni shujaa..Lazima atarudishwa
Ningefurahi sana kwenye ile report ingetamka hivyo kwa wazi ili ibaki utekelezaji tu!
Pole yake bwana Edwin, Mungu ameanza kumlipia hata miaka miwili haijapita,
Nadhani atakuwa amefanya sana maombi pia!
 

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,000
2,000
Anaitwa Godwin Ngwilimi! http://www.nmmattorneys.info/about_us

About UsGodwin S Ngwilimi


Managing Partner,Godwin Ngwilimi is an advocate of the High Court of Tanzania. He has experience working with the Central Bank of Tanzania, Stanbic Bank Tanzania Limited, a commercial bank (subsidiary of Standard Bank), Vodacom Tanzania Limited, the leading telecommucation company and TANESCO, the power company in Tanzania. He has taught law on part time basis at local Universities since 2005 including The University of Dar-es-Salaam. He holds a Master of Laws degree by Research (LL.M) of the University of Aberdeen, Scotland, UK and Bachelor of Laws with Honours (LL.B) of the University of Dar-es-Salaam, Tanzania. He is the co-authour of the book "The Regulation of Banking Business in Tanzania" (2006). His areas of interest in legal practice are in corporate law generally, regulatory law and practice, banking and finance law, telecommunications law, mining and energy.
http://www.nmmattorneys.info/images/godwin.jpg
 

KIKOSIKAZI

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
2,224
2,000
jamaa alutolewa pale voda na aziz ili akawe mwansheria mkuu wa tanesco.Hasa kulinda maslai ya aziz kule.Ndio waasis wa uisadi wa richmond.
 

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,037
2,000
Anafundisha law school huyu jamaa nmeelewa kwanini anafundisha professional ethics...he is ethical for sure...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom