- Thread starter
- #41
pole sana mkuu ila mbadilike sometym utoaji mimba ni mbaya na hayo ndo madhara mnasuguliwa na vyuma mpk vinakata mirija
hiyo ni adhabu ya mungu coz hapendezwi na tabia zenu. kisa unataka muendelee kuitwa wadadaau wari na kula starehe . mm kwa upande wangu cwezi kukuita dada au mwari zaidi ya mama mfiwa au aliye ua watoto. hah ha ha all cc* learn something.
umeandika kitu cha kipumbavu sana hata kama hapa hatujuani haukuwa na haja ya kuandika upuuzi huo, na pia kilicho mkuta kibeku hata ungokitamkuta, usishabikie tatizo la mwenzio litajitokeza kwa kwaklo kivingine na halitakuwa na ufumbuzi ingawa mimi natakiwa kutoa millioni 12 nipandikiziwe nikiamua kuuza shamba langu la ekari 75 na lina hati liko mwasonga kigamboni unadhani nitapandikiziwa mimba ngapi?
Au kwa kuwa umeona nimeandika sina hela hivyo umenichukulia kama unavyomuona mke unayemlisha ukaona uandike upuuzi? huwezi kuchangia acha hujui hali niliyokuwa nayo wakati naandika post hii na watu wenye akili zao walivyonishauri na kupata faraja yao nimebadilika kiasi gani. Ukiona mtu ana tatizo usicheke vaa huusika ingekuwa wewe au ndugu yako ungemweleza maneno kama haya?