Recent content by Mwashemele

  1. Mwashemele

    Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Nafikiri wenye akiri wamesha kuelewa sasa utaona mijitu inakuja kupinga hoja. Na wewe mdau ulie taka ushauri mtafute jamaa anaweza kuwa msaada sana.
  2. Mwashemele

    Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Nikweli kabisa brevis ni gari ya umeme sana so haiwezi kuwa na engine ndogo.
  3. Mwashemele

    Mafile yangu yameliwa, msaada jinsi ya kuyarudisha

    Ma file yangu yameingiliwa na mdudu aitwae shortcut. Nimejaribu kuli cover lakini nimeshindwa. Ila mafaili yapo ila hayafunguki. Nisaidieni nahitaji kuya unlock niyafanyie kazi. Sijui nitumie program gani kuya unlock. Tafadhali sana wajameni msaada.
  4. Mwashemele

    Wazo la biashara (Part 2): Kigeuze unachokipenda kuwa bidhaa au huduma (biashara)

    Nisahihi kabisa mkuu Mimi ni Fundi mchundo pia nipo tayari kuanzisha biashara ya Vifaa vya umeme na baadae kufungua kampuni yangu. Ila je nipe muongozo hapa ile zana ya kusema ni lazima uwe na chanzo zaidi ya kimoja ili uwe na mafanikio bora. Hilo unalielezeaje?
  5. Mwashemele

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Ni kweli mkuu Mimi nipo Mwanza ila nilifikiria kuwa kaanga na kuwapeleka mbeya. Ila sijajua bei yake ipoje sokoni hasa mbeya ninapo hitaji nipeleke
  6. Mwashemele

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Jamani naombeni ushauri wenu. Binafsi napenda sana nianze biashara ya Dagaa wabichi niwakaange na kuwatafutia soko. Ila sijajua faida na hasara yake ipoje. Na ni wapi wanapendwa sana ila pia bei yake sokoni ipoje na kadhalika. Napenda sana nianze hiyo biashara. Naombeni ushauri wenu nianzeje...
  7. Mwashemele

    UPDATES: The UK has voted by 52% to 48% to leave the European Union

    Safi sana UK coz kuna nchi kwenye ule umoja zilikuwa zikinyonya wenzao. Ila kwa sasa nahisi ndio mwanzo wa kufa ule umoja kesho utasikia nyingine imejitoa.
  8. Mwashemele

    Eti kwa sifa hizi anaweza kupata nafasi (dit)?

    Je mtu akiwa na level lll electrical installation na atachukua muda gani in diploma in electrical engineering?
  9. Mwashemele

    New member

    Iam very glad to join in this group. I fill proud for sure. But the most thing I expect from is cooperation. We are togather
  10. Mwashemele

    Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

    Kwani ulinunua sh ngapi? Hiyo LG
  11. Mwashemele

    Nimekunywa dawa za malaria nimeamka na kiu cha castle bariid nimeshindwa kujizuia!!

    Teh nimecheka sanaaa best umenikumbusha longtime ago...Tii kiu yako best achana na wanao kuombea kifo kwani na wao hawata paa kama yesu
  12. Mwashemele

    Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Iringa japo ilikuwa zamani lakini bado wanafaa sijasikia vituko vya ajabu
  13. Mwashemele

    Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Hakufai kabisa huyo....nashauri kwahizo sehemu kama tanga huwezi pata binti atakaye kufaa...
Back
Top Bottom