Recent content by Mwarukuni

  1. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

    Wazee wa ku-upgrade.
  2. Mwarukuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani rafiki wa mke wangu

    Acha kukaakaa nyumbani kizembe.
  3. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

    Dah, sa itakuaje?
  4. Mwarukuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ni mama wa watoto wako, tafadhali wachagulie kilicho bora

    Wenye AKILI wataelewa.
  5. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Wote wakubwa, wote muhimu kwa TAIFA. Ni kama INI na FIGO katika mwili wa binadamu.
  6. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

    SAWA.
  7. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Kipindi cha kikwete na Gharib bilal yupi hapo alikuwa mkatoliki?
  8. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Je, nina ugonjwa wa moyo au nini?

    Wakati unasubiria wataalamu waje wakupe ushauri. Acha kula vyakula vyote ambavyo vinasababisha "gesi" tumboni.
  9. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Kata kitambulisho cha mjasiriamali, kawe CHINGA pale stand mpya mbezi. Fursa hiyo hutasumbuliwa.
  10. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Sijamuona Genghis Khan
  11. Mwarukuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

    Miaka 40 bado unaenda kwa anko... Pambana ukutane na anko baa maongez yasindikizwe na moja baridi moja moto.
  12. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ambazo hazipitiki kutokana na mvua ya leo Dar

    TAA ZA SALENDA HADI TAA ZA SERENA PALE NIMETUMIA MASAA MATANO NA UPUUZI...DAH!
  13. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Barabara ambazo hazipitiki kutokana na mvua ya leo Dar

    Natumai salenda bridge inapitika kuelekea town
  14. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Uchawi haupo, ni imani tu

    Uzuri wa Wachawi Nyuzi kama hizi wanazipotezeaga.
  15. Mwarukuni

    JamiiForums Tanzania Zijue dalili zinazoashiriwa na muonekano wa kucha zako

    Hiyo half moon kwenye kucha nimechunguza, matajiri wengi wanazo kama sio wote,..
Back
Top Bottom