Si dhani kama ni sahihi kubeza kifo cha Kamanda kwa kumbebesha makosa ya watu wengine. Ya RPC Kamuhanda hayawezi kuwa makosa ya RPCs wote nchini. Pia ni vizuri zaidi tukazuia kutoa hukumu zinazo ongozwa na hisia zetu wakati uchunguzi ukiwa bado unaendelea. Tukisha pata taarifa rasmi hapo...
Wageni wetu wa leo wamejikitikita katika kutetea chama fulani na kuponda chama fulani, hata kama hawataji jina la chama au jina fulani akili ya kawaida inatutosha kung'amua mawazo yao, na naweza kusema bila kumung'unya maneno kwamba viongozi wa namna hii ndo wanao hatarisha amani.
Lazima tujue...
[/COLOR]
Ni maoni yangu kwamba ni upuuzi na upumbavu uliopita mipaka kulazimisha jambo ambalo kimsingi maslahi yake ni machache kama hayapo kabisa. Dini ina maslahi gani mpaka tumbambue kilammoja kwa dini yake?? Sensa inatka kujua mwanamke, mwanaume ili kujua kwamba tupange mfano maswala ya...
Ndugu zangu uwajibikaji ni mgumu sana kwa Taifa kama la Tanzania watu (viongozi) wamejifunga kimtandao.
Inamuwia vigumu sana waziri A kuondoka wakti anajua waziri B anafanya kitu kilekile naye hajaguswa. Pili kiongozi haoni sababu ya kuwajibika kwani hana hofu juu ya mamlaka iliyomteua. Vyeo...
wasomi kama akina dr.bana ni janga la kitaifa, wana-jf msiwe na shaka siku taifa lilikombolewa tunaanza nao. Muangalieni yuko star tv anazungumzia mambo ya muungano opotoshaji mtupu eti sera ya majimbo italeta ukabila na kudhoofisha juhudi za utaifa. Jamaa wa hovyo huyu, hatwambii mpaka sasa...
Dr, Slaa amesema kama mchakato wa kumg'ona Waziri Mkuu uatachakachuliwa bungeni CDM itawaongoza watanzania kupiga kura kwa kusaini sahihi milioni 8 za kumuondoa Rais madarakani. Ameyasema hayo Jijini Mwz katika mkutano wa hadhara maeneo ya Sahara. Amesena Rais alichaguliwa kwa kura milioni 5 tu...
Kufuatia kutotiwa mbaroni kwa watruhumiwa halisi wa tukio la kushambuliwa wabunge wawili wa Chadema DR. Slaa amelipa Jeshi la polisi siku saba kuwakamata watu hao na kuwafikisha mahamani mara moja. Amesema watu hao wanafahamika kwa sura, kwa majina, magari waliyotumia, na namba zake, polisi...
Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza...
Waungwana kama nilivyotangulia kusema kujenga ghorofa sio hoja kwani ziko nyingi katika miji yetu. Hoja hapa ni kwamba Waziri ambaye wizara yake inalalamikiwa kila kukicha. Pili kama kuna uhalali ya nini kijenga kwa kupitia majina ya watu kwanini lisiwepo jina lake? Tatu, report ya CAG inaonesha...
WanaJF baadaya kusoma maelezo na mapendekezo yenu katika "TOPIC" ya jana ilisomeka hii ndiyo hali halisi kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba kumleta kwenu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Wiliam Mganga Ngereja aka Mr.Megawat.kuwa ndiye mmiliki wa nyumba ya ghorofa kama tano hivi make...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.