Recent content by mwanya2

  1. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Uchafu kutoka ndani ya uume

    Gono hilo nunua amoxlin dozi vidonge 30
  2. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Hili wimbi la wanawake wanaosema "Naomba nizae na wewe na jukumu la kulea niachie mimi" limetoka wapi?

    Hii Kamba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mke nesi na mke mwalimu ni ipi?

    Na vipi jamani kuhusu mke police?
  4. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atamuheshimu mwanaume yupi kati ya hawa wawili?

    Kivp mzee?
  5. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Blood group O + and -

    Hili tatizo ni kwa kundi la O-na O+ tu, au na kwa makundi mengine?
  6. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

    Afadhali mibuyu iongezeke. Upo wapi tujiandae kuja kuchuma ubuyu. Harafu huo mbuyu ukiota utastawi sana kulingana na mbolea iliyopo humo tumboni.
  7. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

    Tuprni update matokeo vp? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Tena kwa upewa hereni za jero tu anatoa mzigo kwa chinga muuza urembo. Hivi unafikilia pale edeni aliongea nn na yule nyoka? Ni wao wawili tu ndo wanajua walichoongea. Ndoo maana tangia hapo wanawake wakawa too complicate to deal with. Sanasana ishini nao kwa akili.
  9. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

    Mm mara boxer 1 naivaa mara 2. So kwa week navaa boxer 3
  10. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Uvutaji wa sigara.

    Na hapo kuna tu anapiga bia anamaliza anashushia na sigara!
  11. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Uvutaji wa sigara.

    Wewe unaijua sigara lakini?
  12. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Uvutaji wa sigara.

    Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake? Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.
  13. mwanya2

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

    Yani wewe unandoa, harafu uamshauri mwenzio asiolewe duh! Kweli za kuambiwa changanya na, akwako.
Back
Top Bottom