Mbuyu utaota tumboni kwakoHabari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Mkuu fafanua kidogo. Mwezi uliopita mtoto was miaka minne alimeza mbegu ya ubuyu akafa na amezikwa. Kilangila.sali sala zako za mwisho tunda za ubuyu ni mbaya sana....kama unazo mali anza kabisa kuandika urithi
Kweli jamii forum sasaivi imekuwa yakitoto sana,Mkuu kifo ni njia yetu sote hatuwezi kimbia kifo,nikiwahi mie basi ipo siku nawe utatangulia tuParapanda italia parapanda
parapanda italia parapanda
na mtoa mada atakuwa amekwisha.......................... 😂😂
Amenyakuliwa mawingu.....Parapanda italia parapanda
parapanda italia parapanda
na mtoa mada atakuwa amekwisha..........................
mimi sifafanui kitu ila andika usia ndugu yangu huo ndio ushauri wangu wa bure kwako...hizo mbegu zina sumu kali sana..na sumu yake haina dawa kabisa.Mkuu fafanua kidogo. Mwezi uliopita mtoto was miaka minne alimeza mbegu ya ubuyu akafa na amezikwa. Kilangila.