Uvutaji wa sigara.


mwanya2

mwanya2

Member
Joined
Jul 21, 2015
Messages
89
Likes
45
Points
25
mwanya2

mwanya2

Member
Joined Jul 21, 2015
89 45 25
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,470
Likes
30,201
Points
280
Age
76
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,470 30,201 280
Kuvuta sigara hovyo ni uchafuzi wa mazingira, nadhani unaelewa endapo mtu mmoja ataamua kuleta athari ya kimazingira basi hata wewe uliyekuwa mtunza mazingira lazima upate joto la jiwe.
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,665
Likes
1,197
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,665 1,197 280
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.

Mtu aliye karibu na mvuta sigara hupata madhara zaidi kwa kuwa huwa anavuta moshi wa sigara ambao haujapita kwenye filter.

Kumbuka mvutaji hutumia sigara zenye tar na nicotine ambazo huwa zinampa mvutaji hamu isiyoisha ya kutaka sigara.Kwa kuwa mvutaji hutumia kings (filter) sigara huendelea kutoa moshi ambao mtu aliye karibu na mvutaji huvuta na madhara yake ni makubwa kuliko kwa mvutaji.

Ukiweza mshawishi mtu aache kuvuta sigara kabisa kwani ni sumu mbaya.
 
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
442
Likes
584
Points
180
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
442 584 180
Wavuta sigara huwa na vijitabia vya ajabu ajabu sana...

Rafiki eti kaacha pombe lkn sigara kashindwa kuacha, anavuta hadi pakiti 6 kwa siku
Heri yake kaacha pombe wewe umeacha nini? na kama ameweza kuacha pombe basi akiamua na sigara ataacha tu maana vyote (pombe , sigara ) ni vichocheo vya ushetani tu.
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
4,466
Likes
6,682
Points
280
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
4,466 6,682 280
Unaweza kukuta mtu anamshauri au anamsikitikia mvuta sigara huku yeye mwenyewe anabanjuka na kila aina ya wanawake/wanaume tena bila kutumia kinga!!
Kuna watu wanaona wanayoyafanya yao ni ya kawaida na matakatifu...ila mvuta sigara na mlevi wa pombe wanamuona anapotea
 
Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
2,209
Likes
4,377
Points
280
Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
2,209 4,377 280
Mi nakereka sana na hivi vimoshi vya sigara ndogo ndogo,mwanaume unatakiwa kuvuta Sigara kubwa ile Kali kutoka Malawi au Colombia
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,909
Likes
2,107
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,909 2,107 280
Mi nakereka sana na hivi vimoshi vya sigara ndogo ndogo,mwanaume unatakiwa kuvuta Sigara kubwa ile Kali kutoka Malawi au Colombia
Sigara za Malawi zinapatikana wapi?? Ili nihakakishe Kama Zina sifa unazozisema
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
14,031
Likes
20,097
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
14,031 20,097 280
Heri yake kaacha pombe wewe umeacha nini? na kama ameweza kuacha pombe basi akiamua na sigara ataacha tu maana vyote (pombe , sigara ) ni vichocheo vya ushetani tu.
Haaahaaa......ulivyonibwatukia ....mbavu bado zinaniuma!

Btw mi kuna kilevi kimoja nimepambana kukiacha na nahisi nafanikiwa ni kile cha Deluxe....hope umeelewa!
 

Forum statistics

Threads 1,262,346
Members 485,558
Posts 30,120,901