Uchafu kutoka ndani ya uume

Uchafu kutoka ndani ya uume

Mimi Kama mtaalam wa afya hilo ni gonorrhea kabisa
Anza dose mapema
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
 
Dalili za gono izo mkuu nenda duka la madawa lilipo karibu nawe nunua doxycycline, nunua pia ceptrine na flagyl za kusafisha utaona matokeo.

Au kama tatizo ni kubwa na ni la muda kachome sindano za ceftriaxone I/v kila siku kwa siku tano uchukue na flagyl za kusafisha
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
 
nenda hospital ila pia unaweza usiende na ukajitibu na dose ya combination ya ceftriaxone injection na azuma

au cephalex tablets na azuma...
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
 
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
Ampiclox????? Na diclo??? Aisee kazi ipoo... Dr gani huyo kakupa dawa hizoo???
 
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
Nenda duka la dawa kawaambie naomba AZUMA kunywa na maji ya kutoshaaa...!! Acha kunywa hizo Ampiclox... Ingekuwa Vizuri ungechomwa Ceftriaxone alafu ndo uanze kunywa Azum lakini haina mbaya tafuta Azuma zitakusaidia...
 
Shukran sana mkuu, kwa ushauri naenda kuzifuata sasa hivi
 
Nenda kanunue sasa hivi uanze kunywa...piga na maji mengi!! Acha kunywa hayo madiiclofenac na Ampiclox.. Kama unasikia kahoma na kichwa kuuma ongezea na Panadol imeishaa hiyoo
 
Pole Kwa matatizo
Nunua CEFTIRIAXONE injection tano uchome Kwa siku tano kila siku moja plus Azithromycin(Azuma) tabs 500mgs for 6days
Nlikuambia hilo ni gonorrhea
Usifanye ngono Kwa Sasa hivi hahikkisha Umepona kwanza
Nilikwenda hospital nikapimwa kisha wakasema ni UTI,nikapewa dozi ya Ampiclox+diclofenac. Nimetumia zile dawa lakini nikienda kukojoa nahisi maumivu sana na pia uume unawasha sana kwa ndani hadi kwenye mstari unaotenganisha njia ya haja kubwa na korodani. Sasa sioni msaada wa hizo dawa nilizotumia mpaka sasa
 
Pole Kwa matatizo
Nunua CEFTIRIAXONE injection tano uchome Kwa siku tano kila siku moja plus Azithromycin tabs 500mgs for 6days
Nlikuambia hilo ni gonorrhea
Usifanye ngono Kwa Sasa hivi hahikkisha Umepona kwanza
Shukran,nimekupata vyema
 
Gono hilo mkuu.... Tafuta dawa inaitwa AZUMA 500MG TABLET unapona fasta.....

Achana na NGONO zembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom