Ni aibu kwa nchi ya tanzania kutokuwa na uwanja wa michezo ya ndani wenye hadhi ya kimataifa. Kuwa na kiwanja hata kimoja tu inatosha lakini ni standard, ule uwanja wa mabati pale taifa indoor haukidhi kabisa kucheza mechi za kimataifa. Sio kwa basketball, volleyball wala netball.
Kujenga...
Yaani wabongo kwa ujuaji tu, kipa ameacha mpira ameenda kumgonga kichwa mane, yaani ni bora anegusa ule na mkono. Kipa ndio alikuwa na advantage pale sababu mpira anauona ulikotoka, lakini mane alikuwa i guess tu utaangukia wapi ndomana alikuwa anakimbia wakati huku akikadiria. Ile kadi nyekundu...
Yaani kusema ukweli mabasi yote ya china ambayo bongo jamejaa ni takataka kabisa. Sio yutong, higer, kinglong, zhotong sijui, golden dragon yote ni uchafu tu
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
R134 na yenyewe wameacha kuitumia kwenye latest fridge. Fridge latest ya mtumba inatumia R600 siku hizi
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Too much of anything is harmful, kila chakula kula kwa kiasi. Ndomana kwenye chupa ya beer imeandikwa; drink responsibly
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Tena kwa njia ya dar/mwanza hao ally star madereva wako reckless sana. Wanawaza kuwahi tu full mambio na kuovertake hovyo tu. Inafika mahali anatamani barabarani awe mwenyewe tu anavyopiga horn akiovertake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.