Nilishindwa kuzikabiri hisia zangu

Nilishindwa kuzikabiri hisia zangu

Dah! Hapo mbinguni huendi tena. Kama ni motoni, bora uende na msafara kabisa na matarumbeta juu. Mkuu, kula tena, kula mpka wanyama kama wako hapo kwenu. Hapo ukifika jehanamu hata cheo utapewa. Faken 🤧
 
Ila mambo haya yaani mtu anahadithia as if alichokifanya ni kizuuri.
Najua nilikosea! Na ndo maana nimeleta uzi tujadili nifanyeje!! Make nimekaa nacho moyoni miezi minne sasa, kinanitesa!!
Ndo mnambie sasa, nafanyaje, make kama ni kutokea yashatokea!!
 
Wanasema umri ni namba tu, hebu tutajie namba zenu
 
Nilikuwa nikiskia kesi za baba mwenye nyumba kutembea na mfanyakazi wake wa ndani angali yuko na mke, niliona kama ni upuuzi unafanywa hivi! Niliwahi ishuhudia kesi ya namna hii, mwanamke wakati anatoka kazini, akamkuta mme wake akiwa na house girl chumbani kwake, ingawaje wakati wanaondoka asubuhi! Mwanamke aliondoka na mme wake, kumbe alivyofika njiani alikunja kona kurudi nyumbani!

Twende kwenye kisa changu japo kwa ufupi!
Mtoto wa baba mkubwa wangu (binti) sikuwahi onana nae kwa kipindi kirefu sana!! Ni miaka kama minne hivi!! Lakini mwezi Desemba mwaka jana alikuja nyumbani kutembea, na mimi kipindi hicho nikikuwa nyumbani. Mapokezi yalikuwa mazuri tu na maisha yakasonga!

Wiki moja baadae, wanafamilia walitoka out kidogo!! Mimi nilikuwa sijiskii vizuri kiukweli, hivyo sikuwa tayari kwa out! Huyo binti na yeye akasema atabaki kuniangalia!

Sielewi ilikuwaje! ila nilijikuta namuangalia kwa jicho la tatu! Alikuwa sensitive sana, pindi nilipomwangalia nae alinigeukia mda huo huo kwa haraka sana! Tukajikuta tunatabasam, (shetani akafungua mlango akaingia ndani akakaa katikati yetu ili afanye yake)

Niliamua kubadilisha channel nikaweka wasafi tv wakati muda huo binti alitaka star swahili! Mchezo wa kunyang'anyana remote ukaanzia hapo, tukajikuta tunabadilishana mate! Hatukuulizana chochote na wala hatukuwa na wasiwasi tena, tukajikuta tuko tupu ingawaje mlango haukuwa hata umefungwa na funguo! Tumedumu muda mrefu sana! Mpaka nime satisfy ndo tukaanza kuoneana aibu! Nikaingia chumbani ndo wazo la kuwa huyu ni ndugu yangu likaja! Issue tulipiga kimya, ikawa siri yetu! Dah!! Ni zaidi ya binamu!!

Juzi alinitafuta kwenye simu akauliza kuwa sikukuu hizi nitakuwepo nyumbani? Anasema kani miss sana kuniona! Anatumia kigezo cha eti kamisi vituko vyangu!!

Itoshe tu kuishia hapa!
Ngoja mje kunipa mwongozo.....wa

Ngoja mje kunipa mwongozo.....
Nyie mnao tumia startimes mnachangamoto sana
 
Tubu kiukweli, usitangaze dhambi unazofanya na usirudie abadan
 
Hizi mambo hutokea tu wakati mwingine.kuna binamu yangu mmoja nilikuwa Nampa lecture za hapa na pale kipindi Yuko A-level wakati anakaribia kumaliza linatokea Jambo.
Siku moja tuko room namfundisha anaaga joto akajimwagie Kwanza, karudi ndani na kanga yake eti niendelee kupiga pindi,nani!Mimi? tena ni mdada kabisa ambaye sikumzidi hata miaka mi4.usiku tuko wenyewe!yakatokea yakutokea
Mwisho wa siku hisia kabisa zikachomoza na ndo tatizo kubwa likaanzia hapo,nikaja nikamwambia nnavyojisikia akataka tuwe tu pamoja kitu ambacho nilielewa kingeleta athari gani baadae so nilipambana sana na nafsi yangu.Moyo unataka hili,akili yangu inaona si sawa.yeye anakazana kusema simpendi na nikawa najisikia vibaya,nilikuwa naumia na nasikia kabisa Ila mwisho wa siku alimaliza na akafaulu nikakata mawasiliano kabisa.siendi hata huko kwao tena.
So kaza bro,man up.ukijilegeza hautakuwa tofauti na mwanamke.kuwa na msimamo
 
Nilikuwa nikiskia kesi za baba mwenye nyumba kutembea na mfanyakazi wake wa ndani angali yuko na mke, niliona kama ni upuuzi unafanywa hivi! Niliwahi ishuhudia kesi ya namna hii, mwanamke wakati anatoka kazini, akamkuta mme wake akiwa na house girl chumbani kwake, ingawaje wakati wanaondoka asubuhi! Mwanamke aliondoka na mme wake, kumbe alivyofika njiani alikunja kona kurudi nyumbani!

Twende kwenye kisa changu japo kwa ufupi!
Mtoto wa baba mkubwa wangu (binti) sikuwahi onana nae kwa kipindi kirefu sana!! Ni miaka kama minne hivi!! Lakini mwezi Desemba mwaka jana alikuja nyumbani kutembea, na mimi kipindi hicho nikikuwa nyumbani. Mapokezi yalikuwa mazuri tu na maisha yakasonga!

Wiki moja baadae, wanafamilia walitoka out kidogo!! Mimi nilikuwa sijiskii vizuri kiukweli, hivyo sikuwa tayari kwa out! Huyo binti na yeye akasema atabaki kuniangalia!

Sielewi ilikuwaje! ila nilijikuta namuangalia kwa jicho la tatu! Alikuwa sensitive sana, pindi nilipomwangalia nae alinigeukia mda huo huo kwa haraka sana! Tukajikuta tunatabasam, (shetani akafungua mlango akaingia ndani akakaa katikati yetu ili afanye yake)

Niliamua kubadilisha channel nikaweka wasafi tv wakati muda huo binti alitaka star swahili! Mchezo wa kunyang'anyana remote ukaanzia hapo, tukajikuta tunabadilishana mate! Hatukuulizana chochote na wala hatukuwa na wasiwasi tena, tukajikuta tuko tupu ingawaje mlango haukuwa hata umefungwa na funguo! Tumedumu muda mrefu sana! Mpaka nime satisfy ndo tukaanza kuoneana aibu! Nikaingia chumbani ndo wazo la kuwa huyu ni ndugu yangu likaja! Issue tulipiga kimya, ikawa siri yetu! Dah!! Ni zaidi ya binamu!!

Juzi alinitafuta kwenye simu akauliza kuwa sikukuu hizi nitakuwepo nyumbani? Anasema kani miss sana kuniona! Anatumia kigezo cha eti kamisi vituko vyangu!!

Itoshe tu kuishia hapa!
Ngoja mje kunipa mwongozo.....
Leo ndio nimejua kuwa wewe ni me, siku zote uwa nahisi wewe ni ke kutokana na ID yako ya Honey Bee inanikumbusha story ya mdunguaji ile ameandika nani yule mtunzi wa vitabu mtanzania, kulikuwa na character wa kike anaitwa honey bee, basi ID yako inanikumbushaga huyo.
 
Alafu tatizo lingine tunaweza kuhisi umelogwa au ni kichaa kumbe hujalogwa tatizo ni kutumia startimes badili hiyo king'amuzi
 
Ukiona Ndoa yako Inapelekwa haraka sana na Ukweni Kwako Kuwa makini sana,Ujue huko Ukweni Kuna Mume mwenzio.
 
Back
Top Bottom