Recent content by mwanike wa ukaya

  1. mwanike wa ukaya

    Azam telecom ni fire 🔥 tigo byee byee

    Hmmmm, Hizo bundle kama ni kweli jamaa watavuna hela zisizo za kawaida. I love their mentality.
  2. mwanike wa ukaya

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Unapiga bajeti Mkuu, kama timu yako kweli na Perez unamjua jua vile, hongera
  3. mwanike wa ukaya

    Kufungua community based organization (NGO) Tanzania

    Mkuu nahitaji katiba ...niunganishe na huyo mbobezi...natanguliza shukrani 0764558190
  4. mwanike wa ukaya

    Namna bora ya kukata roho

    Mkuu, shkamoo, nakushauri anzisha shule tuje tusome hayo mambo si mchezo
  5. mwanike wa ukaya

    Msaada wa ku track simu

    Ulikosea tyuu, kwenye location Mkuu, pole sana ..ngoja waje wakuu tuone
  6. mwanike wa ukaya

    Alikiba huwezi kuongea mbele ya camera au?

    Mashabiki wake waanza kufunguka
  7. mwanike wa ukaya

    Tendo la ndoa ni vita

    Joseverest katka ubora wako
  8. mwanike wa ukaya

    Swali; hivi ukiamua kuvunja kufuli la TRA waliloongeza baada ya kukuta umefunga Duka lako watafanyaje?

    Lipa kodi za watu Mkuu, wasomi tupewe mkopo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwanike wa ukaya

    Serikali shughulikia kero hii ya ving'amuzi

    Nadhani kuna ...ubia hapa.. Asante kwa kuliona hili Mkuu, nichague 2020 nikaliseme hadharani. Sizikwi na pesa Mimi..nataka kuwatumikia watu wangu na kero zinazosolvika kama hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwanike wa ukaya

    Mikopo ya mashine za sabuni, mkaa na kusaga karanga

    Njemaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwanike wa ukaya

    Natoa huduma ya Mentor and Angel Investor kwenye biashara

    Imekaa poa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwanike wa ukaya

    Hivi haya maisha mpaka lini jamani?

    Hujachelewa, njoo ujasiliamalini,, hakika utaogopa kuajiliwa coz matunda ni murua usipime ,,,huo muda Wa kulalamika utaujutia tafta kitabu cha T Harv eker kinaitwa secret of millionaires mind,,,,hutajutiaa ukinaliza kusoma kwa wiki nzima,,,,ingia ata eBook au kwingneko nunua online Sent from...
Back
Top Bottom