Natoa huduma ya Mentor and Angel Investor kwenye biashara

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wakuu mambo vipi...

Ni muda mrefu sijaandika kwenye jamvi letu hili la biashara, sababu nimerudi Tanzania na nilikuwa nataka kujaribu niliyo yaandika kwa muda mrefu humu (mfano Business Ideas Bure). Nimejaribu na nina ongoing projects ambazo zimeanza kutoa dividend.

Nimekaa nikatazama changamoto za vijana wengi kwenye biashara nikaona kuna umuhimu wa kuanzisha program ambayo itatoa mentorship kwa wanye biashara ndogo ndogo na kama kuna uhalisia wa biashara kukua then naweza kuwekeza mtaji kiasi.

Mambo machache ambayo nilazima uwe nayo ili niweze kutoa mentorship..
  1. Uwe na lesseni ya biashara au umeenza mchakato wa kuipata. Angalizo, kama una biashara na hauna lesseni ya biashara unafanya mzaha na haupo serious.
  2. Uwe umeshafanya research na analysis ya biashara, mambo kama ukubwa wa soko, changamoto.
Kama una vitu hivyo viwili na unaona kwamba mchango wangu wa kimawazo unaweza kusaidia biashara yako kukuwa nicheki hapo chini au inbox.
 
Sasa mkuu kama mm mfugaji wa kuku, samaki, ng'ombe etc lazima niwe na leseni ya biashara?
 
Back
Top Bottom