mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,334
- 57,153
Umemsahau MUNGU.
Sent from my radio using JamiiForums mobile app
Sent from my radio using JamiiForums mobile app
Ahsanteee sana mkuu ushauri wako naufanyia kazi aiseeepole sana ilinichukua pia miaka miwili toka nimalize chuo mpaka kupata kazi kikubwa usivunjike moyo na kumuomba utapata hata bila kushikwa mkono.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Owkey ngoja nijaribu mkuuHujachelewa, njoo ujasiliamalini,, hakika utaogopa kuajiliwa coz matunda ni murua usipime ,,,huo muda Wa kulalamika utaujutia tafta kitabu cha T Harv eker kinaitwa secret of millionaires mind,,,,hutajutiaa ukinaliza kusoma kwa wiki nzima,,,,ingia ata eBook au kwingneko nunua online
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Bhas jitahidi kumuomba kwa dhati.na kwa nia.maana mungu unaweza ukamuomba asubuh akakujibu jioni.Sijawahi kabisa kumsahau mungu mkuu mbona unanisingizia aisee
Ushauri mzuriiii sana mkuu naunga mkono hoja kwa 100 asilimiaPole sana jombaa usikate tamaa me nilikutana hali kama hiyo nilipo anza kuingia kwenye soko la ajira baada ya kuangaika sana nilicho amua kufanya niliweka ma cv kabatini nikajiingiza kwenye kazi ndogondogo roho ilikua inaniuma kwakua watu niliokua nafanya hizo kazi hata shule hawajaenda lakini nashukuru mungu sasa hivi sitamani kuajiriwa bali naweza kumuajiri mtu don't give up..!!