Recent content by mwangangafyelile

  1. mwangangafyelile

    Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

    Kama mm nanga basi wewe mtumbwi.kesho ukifika mapema ntakutia nanga.
  2. mwangangafyelile

    Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

    Kwani siku nyingine utaandika hiki hiki...!!?
  3. mwangangafyelile

    Mobile barbershop, karibuni kwa huduma nzuri

    Mkuu ndo mwanzo wa kazi kujiajiri wengi.hao 5 baada ya miaka 5 watakuwa hata mia hv nchi nzima.hapo ndo inapoanzia mia 500 mpaka mia 250.wengine watasema kwenye kila watu 10 wanne bureee.mwisho wa siku shule nazo zitanunua mashine za kunyolea. kisha shule kuajiri wanyoaji halafu sisi wazaz...
  4. mwangangafyelile

    Kupata kazi Feza schools lazima uwe muislamu?!

    Badiri dini hakuna namna,maana neno FEZA umelitafsiri kama neno FEDHA.
  5. mwangangafyelile

    Dr. Mwakyembe laana hii haitakuacha salama Kyela

    Sio kila mnyakyusa ana roho ya kyela,wengine n wanyakyusa ila wana roho za malawi.
  6. mwangangafyelile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kumekuchaaaaaaa
  7. mwangangafyelile

    Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

    Mpaka umeyajua haya yote kweli wewe mteja haswaa.unastahiri tuzo ya "UZINZI"
  8. mwangangafyelile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Eimeeeniiii
  9. mwangangafyelile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ungewakaba na wewe
  10. mwangangafyelile

    Siri: Waganga wa kienyeji hutapeli hivi. Lumani itawamaliza wana jf wapenda ushirikina

    Kwa kuongezea mleta hii story nae sio "FEKI".Maana ungepinga na ili usipinge naiwe hivyo.
  11. mwangangafyelile

    Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Hapo hakuna herefu ya kiarabu hata moja.kama ni rangi nyekundu kila mtu anayo maana tuna damu na kama ni uzi kila mtu anavaa nguo zilizo shonwa na kama n karatasi kila mtu kasoma shule kwa kutumia makaratasi.endelea kupiga mzigo kama kawa kama dawa tena mpakie na congo dust.kama huna nambie mm...
  12. mwangangafyelile

    Naelekea kubaya au?

    We endelee kuelekea "KUBAYA" maana muda si mrefu utafika "KUZURI".
Back
Top Bottom