Nisiwachoshe sana mada tajwa hapo juu...aisee ni six months sasa nadate na kadem fulani hivi...keupe,karefu,model na dizain fulan hi ni kafundi pande zile,toka nimedate nako upendo kwangu unazid kuongezeka kwa kasi ya ajabu,,yaan imefikia muda sasa kakisema chochote nakuwa mpole hata kakiniomba hela natoa tu hata kama sina nakopa,,,,aisee yaan now imefikia hatua nimeamua chochote kwa ajili yake...uzuri ni kwamba hakana dharau wala sijawahi kakuta na skendo yeyote...mgegedo napata tena wa kutosha...kamemwambia hadi mama yake kwamba mm ndio eti mume wake mtarajiwa......sasa ngoma inakuja pamoja na kumpenda kote huko kuna ukweli upo ndani yangu pia kabila lake wana sifa mbaya sanaa...ni mmach..me,kwa hali ilivyo na sifa zao nazozisikia naogopa sana...wadau sijui nifanye nn ili hali kuna ukweli ndani ya moyo wangu nampenda!